Ngara: Marry Chatanda aingizwa mkenge, adanganywa kuhusu CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm.

Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa kadhaa na vijora viwili vilivyofana na bendera na sare za Chadema .

Ukweli ni kwamba Hakuna Mwanachama yeyote wa Chadema Ngara aliyehamia ccm , hizi ni Sarakasi za Chatanda na wapambe wake

Mama CHATANDA anaitifuatifua CHADEMA sio mchezo yaani Kila akitifua anang'oa CHADEMA na kupanda mbegu ya CCM.

Naona umeamua kubishana na ukweli mchungu lakini ni ukweli walikuwa na wanaCHADEMA na Sasa ni wanaCCM
 
Aaah ! Wapi !
 
Katika Hali ya kawaida kijola ni Mali ya Chama? Yaani mwanaCCM akihamia ACT anarudisha na shati lake la rangi ya kijani?
 
Naona Iringa/Njombe line imerudi kwa kasi huko CCM... Chatanda, Jokate, Lulandala, Chongolo wote wanatokea sehemu mpja!
 
Mama CHATANDA anaitifuatifua CHADEMA sio mchezo yaani Kila akitifua anang'oa CHADEMA na kupanda mbegu ya CCM.

Naona umeamua kubishana na ukweli mchungu lakini ni ukweli walikuwa na wanaCHADEMA na Sasa ni wanaCCM
Ngombe
 
Hakoseagi huyo....

Muulize komredi Ally Mwatiga Bananga kipindi kile cha CCM STAMINAZ ya Chuga[emoji1787]

Au shemeji yetu Hawa Mwaifunga[emoji1787]
 
Marry Chatanda (Standard Steven) Namfahamu Tangia Arusha Mpaka Tanga
Ni MwanamyMmoja Kilaza, Hana Mume, yaani ndio Kiongozi wa wanawake wa CCM wote Nchini.
Nikitafakarigi hili huwa nazidi Kuhitimisha kuwa CCM ni Janga la Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…