Ngara: Marry Chatanda aingizwa mkenge, adanganywa kuhusu CHADEMA

Marry Chatanda (Standard Steven) Namfahamu Tangia Arusha Mpaka Tanga
Ni MwanamyMmoja Kilaza, Hana Mume, yaani ndio Kiongozi wa wanawake wa CCM wote Nchini.
Nikitafakarigi hili huwa nazidi Kuhitimisha kuwa CCM ni Janga la Taifa
Uongo mtupu....

Komredi Chatanda ni "master's holder"...

Ana familia na mume.....
 
Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm.

Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa kadhaa na vijora viwili vilivyofana na bendera na sare za Chadema .

Ukweli ni kwamba Hakuna Mwanachama yeyote wa Chadema Ngara aliyehamia ccm , hizi ni Sarakasi za Chatanda na wapambe wake

View attachment 2772698View attachment 2772699
Hilo litajulikana 2025 kwenye uchaguzi!
 
Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm.

Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa kadhaa na vijora viwili vilivyofana na bendera na sare za Chadema .

Ukweli ni kwamba Hakuna Mwanachama yeyote wa Chadema Ngara aliyehamia ccm , hizi ni Sarakasi za Chatanda na wapambe w
Mwenyekiti wa UWT inayodaiwa kuwa ni Jumuiya ya Wanawake ya CCM , Marry Chatanda ameingizwa Mkenge huko Ngara , baada ya kukusanyiwa watu wa soko la Ngara na kuelezwa kwamba ni Wanachama wa Chadema walioacha chama chake chao na kuhamia ccm.

Katika Utapeli huo Chatanda amekabidhiwa Vitambaa kadhaa na vijora viwili vilivyofana na bendera na sare za Chadema .

Ukweli ni kwamba Hakuna Mwanachama yeyote wa Chadema Ngara aliyehamia ccm , hizi ni Sarakasi za Chatanda na wapambe wake

View attachment 2772698View attachment 2772699
Kwani unawafahamu wanachama wote wa Chadema hapo Ngara.
 
Back
Top Bottom