Ngasa kwenda Afrika ya Kusini ni sahihi

Ngasa kwenda Afrika ya Kusini ni sahihi

To be honest, hayo yapo Yanga peke yake?

La Kaseja lipo wazi. Simba walimwacha kwa kushuka kiwango lakini nakiri viongozi Yanga walifanya makosa kumsajili. Kiwango chake ndio tatizo. Kumbuka mechi ya Yanga na Coast Union kule Tanga. Vinginevyo tuseme aliuza mechi lakini tusifike huko tuseme kiwango kimeshuka.

Ngasa pamoja na mapenzi yake kwa Yanga ni kielelezo cha soka la Tanzania. Si Yanga, Azam wala Simba. Viongozi wa timu zetu kongwe pamoja na Azam ambao ungetegemea wabadilike kutokana na umilika wa Club, bado wapo kwenye ujima wa namna ya kuendesha soka.

Tuone VPL mwaka huu itaisha vipi safari bado ni ndefu

Naona maneno ya Masuke yamekuingia na sasa umerudi kuongelea mpira badala ya ushabiki. Nilitaka kueleza mengi pia lakini naona Masuke ni kama amemaliza, hivyo nmeishia kumpa LIKE tu.
 
Naona maneno ya Masuke yamekuingia na sasa umerudi kuongelea mpira badala ya ushabiki. Nilitaka kueleza mengi pia lakini naona Masuke ni kama amemaliza, hivyo nmeishia kumpa LIKE tu.

Shusha hoja zako mkuu. Kila mtu humu ndani anajadili hoja lakini ushabiki wa timu zetu unathiri mitazamo yetu. Balanced analysis bila chembe ya ushabiki ni adimu sana.
 
Masuke umeua Mkuu.Hakuna cha kuongeza.Nikiwa na kesi ya kuhusu mambo ya mpira sisiti kukuajiri kama utakubali.[/Q

Ukisema hayo ishu ya kusubiri mkataba ukasha mchezaji akaondoka mara kibao tu imewatokea Simba pia tukianza na Kelvin Yondani nadhai unatambua Yanga walimchukua buree Nurdin Bakari pia Yanga walimchukua bureeee, Said Maurid pia Yanga walimchukua bureeeee, Ali Mustafa Barthez Yanga walimchukua bureee na Mkude muda ukifka tutamchukua bureee maana ndio mchezaji pekee sasahiv pale Simba ana hadhi ya kuchezaYanga.
 
Pia hata Azam Fc wameanza tabia hiyo, mkataba wa Kavumbagu unaisha mwisho wa msimu.. Msimu ukiisha atatua Simba Sc bure.
CC Deo Corleone
 
Last edited by a moderator:
Hafai kujibishana nae huyo.Nilimuuliza huwa anakaa kwenye jukwaa lipi?La Yanga au la Simba? Akapotea ni kinyonga anayebadilisha rangi kutokana na mahali alipo.

Swali lako halikueleweka,kukaa Jukwaa la simba au Yanga kwani hizo timu hata pitch ya kuchezea hawana ndo wawe na Jukwaa?
Halafu sikubisha ila niliuliza tu kwani sikuwa na uhakika na contract ya Kavugoals
 
Nenda na hicho kiherehere kama mwenzako Steve Azam alivyofanya uone kama kuna jukwaa za watu au hamna?Kama hujabaki na chupi.
 
Ohh my God nilidhani unaweza kusoma between the lines kumbe bado sana.My mistake.
 
Kuna shida ya 'network' katika huu uzi. Quotations hazionekani kama zilivyokusudiwa. Mods kama mnaweza kusolve hili tatizo, tusaidieni tafadhali.
 
Back
Top Bottom