Ngasa kwenda Afrika ya Kusini ni sahihi

Ngasa kwenda Afrika ya Kusini ni sahihi

Wachezaji wenye matumaini ya kucheza nje ya nchi wahakikishe wanakuwa na kipengele cha kuwawezesha kupata timu ya nje kwenye mikataba yao.

Tatizo wakati wa ku sign hizi timu zetu kubwa Bongo, wakiwekewa hela mezani, tena cash kwenye kisandarusi kama cha ESCROW, akili yote inapotea! Hela zote hizo cash, hivi hawana account bank?

Wataishia kutoroka na kupata adhabu au kunyimwa nafasi hadi mikataba yao iishe. Ufumbuzi ingekuwa kupata mawakala lakini inaelekea hao nao matepeli wamejaa tele. Changanya na ukweli kwamba wachezaji wetu shule ilipita pembeni, basi ni balaa tupu.
 
Masuke upo sahihi kabisa. Tena kwa kuongezea hata Kiiza nae ameachwa dakika za mwisho kama ambavyo ya Okwi yalivyotokea.

Kwa upande wa Ngassa ni mmoja wa wachezaji mbumbumbu lakini mwenye kipaji, kuacha dili la El Merreikh wenye mshahara wa 6ml kwa mwezi, afu anakuja kusema eti Sudan kuna vita bila ya kufikiri kuwa hata goalkeeper #1 wa Misri Hidary alidaka pale, Ni upuuzi.
Unakataa timu ambayo kila mwaka wana uhakika wa kufika group stage afrc champions league ( best 8) kisa eti Yanga watakupa 20 ml za signing fee + 2ml salary per month. Ni upuuzi!!
Ngassa huko aliko South Africa ashindwe tu, maana akifanikiwa young players watakuwa hawajajifunza kitu kutoka kwake kwa dili alilopoteza El merreikh!!!

Hapa ndo miaka ya keshokutwa unakuja kusikia Ngassa anahitaji mchango wa matibabu kalazwa hospitali hajiwezi wadau wa mpira tumchangie, mxiiiiiuuu shwain kabisa!!!!
 
nimesoma gazeti moja kuwa kuna habari ngasa ameenda afrika kusini kufanya majaribio.
mimi nampa tano lakini uongozi wa yanga unadai kuwa hauna habari eti ikibainika kama kweli itampa adhabu.
nyie vikaragosi wa yanga acheni ujinga huo wa kumng'ang'ania mchezaji kama mmemzaa nyinyi.

Hakika umeandika kama Mtanzania...

Unatoa hitimisho pasipo kuzingatia hata taratibu zilivyo...
 
Back
Top Bottom