yeah huyu naskia anaenda na 20 sasa hivi kitu kama hicho.
Unaona ni umri right kuoa?
hongera zako mrisho!tunaomba usipungukiwe na kiwango chako cha soka KISA MWANAMKE.maanake kule nako nguvu inatumika sana!jaribu kubalance,professional yako inahitajika zaidi
DOGO ANA 21
Masanilo usione wivu,najua wivu huna lakini roho itakuuma hapo tunaisubili yako na ya Bellie.
Oyaah! sisi tumekuwa pamoja for six or more yrs...twajuana sasa dogo huyu mmmhh siangekuwa naye kama boy friend na na girl kwanza akipima upepo!?
Yawezekana huyo mtoto ni wa Sheikh sasa alikuwa anashindwa kujiexpress free ndo maana akaamua kuchukua jumla jumla ale kiuhuru.
Lakini nilisikia huyu dogo ana mtoto sijui kazaa na huyu Latifa?
Vijiposho tu vya wiki mbili London kwenye majaribio- ameoa! Akisajiliwa, I doubt kama hataongeza mke wa pili! Hongera kaka, effect ya 'kukipiga' daily utaisikia tu kwenye magoti na mgongo!
Kana Ka Nsungu, umejuaje kwamba kuoa katika kipindi hiki hakukuwa kwenye ratiba yake way before safari ya "Vijiposho tu vya wiki mbili London"?
Halafu kizazi cha leo watu wanaanza hicho ulichokiita "kukipiga daily" na wachumba zao way before ndoa, hivyo huna hakika kwamba Ngassa ndio atazidisha kitendo hicho baada ya kuoa. Isitoshe, ni wachezaji wangapi wana wake ndani na wanacheza mpira bila hizo effect za magoti na mgongo kutokana na tendo la ndoa? Nilitegemea ujue better manake una run thread za mipira humu, kumbe duu, hazikusaidii.
Mtindio, mshkaji si ashakuwa celebrity? si ndo Beckham wetu huyo?Mambo ya wikiendi mmeyapeleka kusiko kabisa..yaani ndoa ya mshkaji ndo mmeifanya stori ya wekendi? Masela sio fresh..