Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

Ngassa alikataa dili la bilioni 1.6 El Merreikh

Mawazo haya baba yangu anayo sana hataki mtoto wake akolewe wala kuoa mbali na pia hapendi wakaishi mikoani....kaka zangu walifosi tu kuhama mkoa na kuolea mkoani
Kukosa exposure kunatugharimu sana. Pia hili neno uzalendo limeturudisha nyuma.

Wakati wa Kenya na Wanigeria wakienda nje walitafuta makazi na kuendeleza kwao, sisi tuliambiwa kuloea nje ni sawa na kuolewa na beberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
......kweli, ni uswahili na kukosa exposure.
 
Waswahili ni tabia yetu kuuchagua umasikini kama alivyofanya Mrisho Khalfani Ngassa halafu mambo yanapokuwa magumu kuliko tunavyotarajia na wale wenzetu kuwa na hali nzuri kwa sababu hawakuuchagua umasikini tunawaita FREEMANSON.

katika maisha ni vema kumuomba Mungu uwe mfano bora, maana kuna watu ni mfano mbaya kwa jamii.

wee usifanye hivyo usije ukaishia kama Ngassa[emoji23][emoji23]

Hasara Umfika Mwenye Mabezo
 
Wapambe wa Ajib walituambia jamaa kaikacha offer ya Mazembe kisa maslahi.

Ngoja tuvute subra muda uongee!

Ila huyo Mwandishi wa makala siyo Edo Kumwembe kweli?

Time yenye uhakika wakucheza group stage caf champions league ata kama wanakulipa $1000 unaenda tuu maana kama lengo ni kugika mbali kisoka hapo ndio pakuanzia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa unazingua tumuoneeni huruma hakuna stress mbaya kama ukija kugundua kuna mahali ulifanya ujinga ukaharibu future yako.
Anawaambiaje sasa? I mean kwa lugha ipi, Yaani anawasilianaje nao, maana yule dalali hayupo tena!
Si ndiyo mwanzo wa kusema "hey you arabs, the me, the wash jezi until clean pyuu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukosa exposure kunatugharimu sana. Pia hili neno uzalendo limeturudisha nyuma.

Wakati wa Kenya na Wanigeria wakienda nje walitafuta makazi na kuendeleza kwao, sisi tuliambiwa kuloea nje ni sawa na kuolewa na beberu.
Ndio maana hata passport bongo ni usumbufu sana kuipata kwa mtz wa kawaida, serikali yenyewe inadiscourage watu kutoka nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom