Nilimuona Chanika juzi wakati naenda kutafuta mashamba.haya mkuu sijawahi kumuona huyu mnyama anapatikana wapi hasa.
Huyo ni kama Pork. Wengi wanampenda na wachache wanamchukiaNini kinafanya huyo Mnyama apendwe na Wenzie?
Hiki kweli ni kismatiYaan ana kismati.
Wow! Leo Jimena umetoka nje ya Makapuku! Karibu sana uraiani!Hiki kweli ni kismati
Anaitwa NgekewaKwa kiswahili anaitwaje huyu mnyama?
LolWow! Leo Jinema umetoka nje ya Makapuku! Karibu sana uraiani!