Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Atakuwa na madhara kwa wanyama wakimtafuna.
Capybaras are liked by many animals because they are extremely calm, friendly, and non-threatening herbivores. Their relaxed nature means they do not trigger panic or aggression in other species, allowing birds, monkeys, and even predators to hang around them peacefully.

Why Animals Like Capybaras
    • Zero Threat: As plant-eaters, they hunt no one and compete with few for food.
    • Easygoing Attitude: They simply do not care if other creatures sit on, lean on, or walk over them.
    • Clean-Up Service: Birds and other small animals often ride on a capybara’s back to eat ticks and bugs, giving both species a helpful benefit.
    • Built for Groups: Capybaras live in large herds, so sharing space with outsiders feels natural and safe to them.
 
Ngekewa Noma Sana
Hana taabu na mnyama mwingine. CCM wangeishi na wananchi kama ngekewa anavyoishi na wanyama wengine, hii nchi ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi.
 
Hana taabu na mnyama mwingine. CCM wangeishi na wananchi kama ngekewa anavyoishi na wanyama wengine, hii nchi ingekuwa mahali pazuri sana pa kuishi.
CCM Wapuuzi Hawajui Maisha
Ngrkewa Hana Noma Anapendwa Kwa Dhati Sana
 
Je, wajua kuwa Capybara ndio mnyama rafiki kwa wanyama wengi ikiwemo crocodile (mamba), chui na simba?!..

Huyu ni rafiki mkubwa wa Anaconda na Nyegere.

Pia soma...
- Naomba mnieleweshe maana ya ''ngekewa''

===========

Mnyama anayefahamika kwa jina la kigeni Capybara ambapo kwa kiswahili huitwa Ngekewa ni mnyama mwenye ukubwa wa sentimita 134 na uzito unaokadiliwa kuwa kilo 66 anapokuwa mkubwa na mnyama huyu asili yake ni nchi ya America ya kusini.

Ni mnyama ambaye anapenda kukaa karibu na maji na anapojisi hatari hulazimika kukimbilia ndani ya maji na ana ujuzi mkubwa wa kuogelea.

Akiwa ndani ya maji anaweza kutumia dakika tano bila kuibuka ambapo hubana pumzi ndani ya maji anapokwepa hatari ya kushambuliwa na adui yake.

Huyu Ngekewa ndio mnyama anayependwa na viumbe vingi vya porini na majumbani.

Wanyama kama mamba, chatu, nyani, paka, kobe na hata ndege wa aina mbali mbali hupenda kukaa karibu naye na kufurahia maisha hivyo mnyama huyu huhesabika kama kiumbe chenye bahati ya kupendwa na viumbe wengine ukiondoa maadui zake.
capybara.jpg
Kwenye kamusi ya lugha ya kiswahili neno Ngekewa mbali na kumzungumza huyu mnyama pia limetafsiliwa kama bahati au yenye bahati na ndio maana hata mtaani mtu mwenye bahati huambiwa ana ngekewa.

Asili ya maana ya neno ngekewa ipo katika kupendwa kwa huyu mnyama na viumbe mbali mbali hata vile vya hatari.


Picha

cd11d58b8071e476c76ca1fdc2e52436.jpg
9ffb772bf9aea054441822e472c22436.jpg
fcc0a9536e18d56a47d7ab73952641bb.jpg

​

Lazima kuna kitu kisayansi
 
Back
Top Bottom