Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Sio kweli kuwa Ngekewa anapendwa na Wanyama wote katika Diet ya Jaquar ngekewa pia ni amongst preferred na Jaquar, Jaquar anawinda na kuwala sana Ngekewa pamoja na caiman jamii fulani ya mamba
 
Inaezekana hata huku zamani walikuwepo.Hadi wahenga kuwaita ngekewa wadhani waliwaona wapi?
 
NGEKEWA ni mnyama ambae 'inaaminika' anapendwa sana na wanyama wengine.

Jukwaani humu unaweza sema mtu kama Bujibuji jinsi apendwavyo na wadada, ama Kasie apendwavyo na vijana kwa umahiri wake wa kuchezea maneno mnyegelesho.

Screenshot_20210302-220530~2.jpg
Screenshot_20210302-220551~2.jpg
Screenshot_20210302-220519~2.jpg
Screenshot_20210302-220503~2.jpg
 
Back
Top Bottom