Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Asalalaaaaale kumbe mlengwa ni mimi hapa mjukuu wa babu?
Babu Asprin nakusubiri unipe go ahedi nikaichakate hii K-Vant maana naona inaleta zereu kwa kupima kina cha maji kwa miguu yote miwili.
Achana na babu ataanza kuleta maneno yake ya uchonganishi
 
Mafuta ya huyo mdudu si ndio huitwa mafuta ya ndere?
 
Weeeee...! Yaani apendwe na nani? Mamba? Mamba ana urafiki na vitu vitamu tamu hivyo?. Weeee huyo mamba atakuwa kenge
 
Weeeee...! Yaani apendwe na nani? Mamba? Mamba ana urafiki na vitu vitamu tamu hivyo?. Weeee huyo mamba atakuwa kenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani na wewe ungekua na ngekewa kama mimi usingeona ajabu mamba kua ni shosti wa huyo kiumbe.
 
Asante leo ndo nimejua maana ya K- Vant kuja mjini ukubwani nako tabu
Hivi nikiwa chumbani na mam sap nikamwambia baby naomba K-vant si atanielewa maana huwa napataga tabu kuomba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani na wewe ungekua na ngekewa kama mimi usingeona ajabu mamba kua ni shosti wa huyo kiumbe.
Mambaaaaaaa....! Ni mnyama ninaemkubali kabisa,hanaga kulemba. Uliza wakifumumania anga zao wewe Mgugu. Wawe kama watatu hivi kula yao. Mmoja Anang'ata hilo paja lako,huku wa pili aking'ata mkono,wa tatu anaweza akashika mguu. Kata yao Wanajiviringisha,hapo tayari paja na mkono vimeondoka. Hakuna kutafuna analisokomeza tu paja zima lileeee. Wakirudia mara ya pili tayari wewe ni hadithi. Hapo wanagawana kabla hujafa. Utaenda kufia tumboni. Hawanaga urafiki na kidude chochote wale njemba. Ukiona amejenga urafiki na wewe kaa chonjo ujue anakumendea.
 
Hahahaha we jamaa bhana. Ngoja nikukabidhi kwa my dia mjukuu joanah akubatize kwa moto ili haka kanyota ka huyu mdudu kakudondokee...

joanah my dear weekend hii tukamilishe lile zoezi letu tafadhali
Babu Asprin kweli sasa hivi unaanza kuzeeka mpk ushasahau kua joanah ni dadangu hivyo huo ubatizo wa moto haiswihi kabisa yeye kunifanyia.


Msamehe bure huyu mzee dia kaka,hii ndiyo mida yake ya k-vant

Alichoandika hapo kimedhaminiwa na K-vant
 
Asalalaaaaale kumbe mlengwa ni mimi hapa mjukuu wa babu?
Babu Asprin nakusubiri unipe go ahedi nikaichakate hii K-Vant maana naona inaleta zereu kwa kupima kina cha maji kwa miguu yote miwili.
GO ahead inaletwa na upepo wa kisulisuli ili zoezi lisichelewe... Hakika unaichakata K Vant mpaka avimbiwe kile kitambi pendwa...
 
Msamehe bure huyu mzee dia kaka,hii ndiyo mida yake ya k-vant

Alichoandika hapo kimedhaminiwa na K-vant
Majua sana ndo maana nataka umbatize kaka yako awe na ngekewa kama yangu mimi babu yenu mtakatifu nisiye na dhambi
 
Back
Top Bottom