Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
Mwali kavunja ungo sasa katolewa nje...Kweli nimefurahi pia
Leo kumuona Jimena
hapa jukwaani.
Mwali kavunja ungo sasa katolewa nje...Kweli nimefurahi pia
Leo kumuona Jimena
hapa jukwaani.
Atakua mnafiki huyuNiliambiwa ukichukiwa au ukipendwa sana kwa asilimia kubwa basi unamatatizo...sasa huyumnyama sijui anamatatizo gani masikini duuu
Huyu atakuwa ana tabia ya uongo,story nyingiiii mpaka unajikuta umeanza naye urafiki,LOL.Aisee. Inabidi utafiti ufanyike ijulikane kwa nini
Vp uku kwetu haiwezakani wakaletwa kama wale #vyura wa kihansi walivyopelekwa #Amerika?Nimefatilia google huyo mnyama anapatikana America na Southern America!
Iko siku hata Simba na Swala watapga story pamojaHii taarifa haiwezi kuwa ya kweli labda kwa baadhi ya wanyama....
Huyu mnyama hapatikani Afrika bali Amerika ya Kusini maeneo yenye grasses au misitu mikubwa inayokaribiana na mito( Aquatic areas). Anauwezo wa kuishi hadi miaka 20 ila mara nyingi hawamalizi miaka 8 kwasababu ya kuwa ni chakula kizuri cha Jaguar. Bila kusahau ni prey wa Anakonda.Mkuu nimekaa sana maporini huko na mambugani kusema na ukweli sijawahi kumwona ila kidoogo kuna mnyama fulani hv anafanana na muhunga au bunuasy!!na kuna mwingine nae anaitwa "inyama"huyu kiswahili chake fasaha cjui !!na huyu inyama kuna imani flani kuwa kama ukibahatika kupata fuvu la kichwa chake ukaweka kwenye mto unaolalia ucku mambo yate wanayokufanyia kichawi unayaona yote ndotoni!!!na huyo muhanga yy anadili na mchwa kwenye vichuguu tuu yaani kichuguu anachimba kama ananawa vile!!!
Nadhani Kuna mazingira flani ya hari ya hewa ambapo hu survive, wenyewe hupenda kuishi kwenye Mito na ni wajuzi Sana wa kuogelea, wanasemwa ni jamii ya Nguruwe, wanajulikana kwa jina la utani kama "Animals Chair"Vp uku kwetu haiwezakani wakaletwa kama wale #vyura wa kihansi walivyopelekwa #Amerika?
Interesting kwa kweliNadhani Kuna mazingira flani ya hari ya hewa ambapo hu survive, wenyewe hupenda kuishi kwenye Mito na ni wajuzi Sana wa kuogelea, wanasemwa ni jamii ya Nguruwe, wanajulikana kwa jina la utani kama "Animals Chair"
Sure, bado watu wanajiuliza kwa nini wanapendwa na wanyama wengi, ila katika wanyama wanaompenda nadhani Anaconda hayumo, coz kwa tabia yake ya kupenda kukaa kwenye maji ambapo huweza kukaa hadi Dakika 5 ndani ya maji bila kuibuka juu, amekua chakula kikubwa cha Anaconda!Interesting kwa kweli