Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Kwa iyo apart of anakonda wanyama wengne wote na rafk zake?anakonda anaishi kwenye maji au kwenye misitu mizito?(amazon forest)Sure, bado watu wanajiuliza kwa nini wanapendwa na wanyama wengi, ila katika wanyama wanaompenda nadhani Anaconda hayumo, coz kwa tabia yake ya kupenda kukaa kwenye maji ambapo huweza kukaa hadi Dakika 5 ndani ya maji bila kuibuka juu, amekua chakula kikubwa cha Anaconda!