Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Not true capybara ndiye mnyama pekee ambaye anaconda puma jaguar wanapenda kumla na anapatikana amerika ya kusini sina uhakika kama ngekewa ni huyo capybara kwan anakua mdogo na miiba kama nungunungu.