Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Ngekewa(Capybara): Mnyama pekee apendwae na wanyama wote

Habari njema hii Waganga wa kienyeji

Mavi yake ni dawa nzuri sana ya kufanya watu wakupende pia wanyama wakali kama Simba; nyoka; chui wasikudhuru. Unachukua kiganja kimoja unasaga unaweka kwenye maji moto unaoga.
 
e0bbbe69b28fa273682218489b3e06f5.jpg
73d63249a4f6c11e2db71a7722a3a80a.jpg
c95cd4534f409fb7ecf2d45e61cd51b0.jpg

Asante kwa ushahidi mkuu kikulacho tumeambiwa anapendwa hatafunwi mbona anageuzwa kitoweo?
 
Nasikia mkarimu sana, hata akikuta wanyama wanagombana anagombelezea, akipata kitoweo huwakaribisha wenzake, nasikia hawez kupita bila kuwajulia hali wnyama wengine, kingine kikubwa ni kwamba akinya mavi ananawa kama binadamu,,..
 
Anaconda na chui marafiki zao ni jamii yao hako ka ngekewa kanatafunwa na kumezwa vibaya sna labda acheze na ngedere au makobe nimeshuhudiwa ktk video akimezwa na kuliwa na chui mara nyingi.
 
Back
Top Bottom