RICH GANG LIFESTYLE
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 256
- 192
Huyu mnyama anapatikana sana misitu ya peru, nepal, indonesia analiwa sana tiger
Kwahiyo huyu ana sifa kama za GENTAMYCINE?Huyu atakuwa ana tabia ya uongo,story nyingiiii mpaka unajikuta umeanza naye urafiki,LOL.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio fisimaji kumbe.!
Akileta amani, basi wanyama. Walao nyama wote watakufa kwa njaa...Inatakiwa awe rais wa wanyama dunian kote ili alete amani miongoni mwao.
Sio fisi maji bana huyoNdio fisimaji kumbe.!
Naomba picha ya fisi majiSio fisi maji bana huyo
Acha uongoNilimuona Chanika juzi wakati naenda kutafuta mashamba.
Kakojoe kurudi tena kitandani.Kwa kiswahili anaitwaje huyu mnyama?