Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu kanjanja yeye mada zake za kuzichokonoa Simba na Yanga tu ili ajadiliwe apate umaarufu"Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.View attachment 3037443
Ezatri."Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.View attachment 3037443
Ezatri..."Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.View attachment 3037443
Hana ukweli wowote huyo kanjanja. Sema unafurahia anapoisema vibaya Simba lakini akiikandia nyumamwiko unapiga kimya.Vp kama Kuna ukweli ndani yake
Kwa hiyo ni kweli Azik Ki ameondoka Yanga kwa mujibu wa huyo kilaza?Hapana mkuu.,...