Ngereza: Simba isijidanganye kushindana na Yanga

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.
1720515568478.jpg
 
"Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.View attachment 3037443
Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu kanjanja yeye mada zake za kuzichokonoa Simba na Yanga tu ili ajadiliwe apate umaarufu
 
Attachments

  • FB_IMG_1720526559528.jpg
    FB_IMG_1720526559528.jpg
    55.2 KB · Views: 3
Mbona kila anaongea hoja hiyo hiyo kwani hana content nyingine? Ukute unamwekea maneno kwenye keyboard hawezi kukosa content kila siku asee
 
"Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.View attachment 3037443
Ezatri.

Ezatri...
 
Back
Top Bottom