Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
"Yanga hawatokuwa na kazi kubwa kwasababu kubwa ya wachezaji wao wote tayari wapo kwenye mfumo na hata Hawa wachezaji wapya wanaijua ligi vizuri. Kwa upande wa Simba wao Wana kazi kubwa ya kufanya kwasababu Kila kitu ni kipya,wachezaji ni wapya na kocha mpya ambapo Wana kazi ya kufanya kuifahamu ligi" Alex Ngereza, Mchambuzi wa Soka wa TV3 Tanzania.