Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana
Hiv hujaumia kweli vidole..... Karibu
ahsante mkuu, raman ni vip?Karibu sana JF mkuu.
wats up katavi?
Je, nipite na via2.
Pita tu na viatu, erickb52 atafagia endapo utaingia na uchafu!
Karibu sana.
Karibu bwana Juma
olyset net, tafathaliTaratibu baba utatuvunjia mlango. Hivi huna undugu na mch lwakatare wewe? Usije tuletea ndugu wasio na maana hapa!anyway karibu sana
Naombeni msamäa kwa ku ingia bila ruhusa ,hivyo bas naombeni ruhusa coz nimelamba asali ya JF na kinachofuata ni kuchonga mzinga.
Karibu sana jamvini.Tunakula.Pita na viatu.Huku Jf kuna mambo mazuri sana.Umejua kuPM,?