Ngo, ngo, ngo, ngo, ngo, ngo,ngo,ngo

Ngo, ngo, ngo, ngo, ngo, ngo,ngo,ngo

G.JUMA

Senior Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
111
Reaction score
17
Naombeni msamäa kwa ku ingia bila ruhusa ,hivyo bas naombeni ruhusa coz nimelamba asali ya JF na kinachofuata ni kuchonga mzinga.
 
Hiv hujaumia kweli vidole..... Karibu

sijaumia kabisa coz kucha yangu ni ndefu na iliyo komaa mithili ya chuma cha pua.
Ahsante kwa kuwa miongoni mwa walio nijaribisha kathka jamvi la JF.
 
Taratibu baba utatuvunjia mlango. Hivi huna undugu na mch lwakatare wewe? Usije tuletea ndugu wasio na maana hapa!anyway karibu sana
 
Taratibu baba utatuvunjia mlango. Hivi huna undugu na mch lwakatare wewe? Usije tuletea ndugu wasio na maana hapa!anyway karibu sana
olyset net, tafathali
usiwe na wasiwasi kwani kucha yangu hana uwezo wa kuvunja mlango wetu ila kwakuwa ni mgumu mithili ya chuma cha pua mahisi utaweza kutoboa mlango wetu.
Am realy appreciate your concern thanx.
 
Naombeni msamäa kwa ku ingia bila ruhusa ,hivyo bas naombeni ruhusa coz nimelamba asali ya JF na kinachofuata ni kuchonga mzinga.

Karibu sana jamvini.Tunakula.Pita na viatu.Huku Jf kuna mambo mazuri sana.Umejua kuPM,?
 
Back
Top Bottom