Ngoja nijaribu kutunga jinsi ya kuwa bilionea kwa hii 500

Hapo umenunua tikiti nakuiuza saa hiyohiyo hujapinga mahesabu ya kuharibika,hujala,hujavaa,hujaweka vocha,yaani kirahisi hivyo duu mkuu tusidanganyane kiasi hicho ila simaanishi haifai lakin sio kwa urahisi ka ulivyotiririka ww
 
huyo atakuwa bado yupo kwa wazazi wake au ndo ndo kapo udom mwaka wa kwanza, [emoji23]
Chuoni hata kama unakula boom kuna mtu mwenye mawazo haya kweli, hii ni akili za f1 unawaza usome ufike chuo umalize uajiriwe uoe au uolewe uwe na magari na nyumba lakin ukitinga f4 unaanza kuona aliyeenda veta anaafadhila
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji2][emoji2] kumbe mambo Ni yako hivo eeeh??
Ndio ukajaribu rafiki. πŸ˜€πŸ˜€ kisha uje na mrejesho. πŸ˜€
 
Mtoa post uwe unaweka uzi ukiwa hujala,ukishiba unaandika tu,,,eti nunua tikiti 500 kwenye gari?nani atakuuzia tikiti moja tu kwa 500,?hata shamba tu yaweza kuwa ngumu kupata,,ebu zima hiyo luninga kazurule huko maana unamaliza tu umeme
 
ongezea hapo kuwa unakula kwa baba yako, anakununulia nguo, unalala kwake we kazi ni kuuza tikiti tyuu majukumu mengine ya mzee baba na ma lma au uwe umeolewa mahitaji yote unapata ,.

shenzi sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Niliwahi jaribu kufanya Biashara ya Saa aisee nilikuwa nikiuza saa tu Hela naipigaa yani hadi nakuja kumaliza saa zote sina hata miaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Bishara noma sanaa
 
Hata sikufanaanishi Ila haya majaribio labda wewe unayaweza. Maana Mi hata sijaelewa
Majaribio kwa kitu ambayo unaona kabisa hata haiwezekani si mtihani huo. πŸ˜€πŸ˜€ hivyo umetoka kapa. πŸ˜€πŸ˜€
 
Majaribio kwa kitu ambayo unaona kabisa hata haiwezekani si mtihani huo. [emoji3][emoji3] hivyo umetoka kapa. [emoji3][emoji3]
Hahahha kumbe haiwezekani hiyo analysis alitoa?? Mi nimependa tu huko mwisho nilipoiona hiyo 41 Mil..Kwingine kapa kwakwel
 
Hahahha kumbe haiwezekani hiyo analysis alitoa?? Mi nimependa tu huko mwisho nilipoiona hiyo 41 Mil..Kwingine kapa kwakwel
Haiwezekani ndio. Mi mwenyewe ilinishawishi aisee mpaka nikajisemea siku zote pesa kuiandika ni rahisi mnoo. πŸ˜€
 
Haiwezekani ndio. Mi mwenyewe ilinishawishi aisee mpaka nikajisemea siku zote pesa kuiandika ni rahisi mnoo. [emoji3]
Au labda kuna sehemu tunakwama ngoja aje atupe darasa bwana.. Uwe makini mi nitajifunza kupitia kwako.. [emoji4]
 
Au labda kuna sehemu tunakwama ngoja aje atupe darasa bwana.. Uwe makini mi nitajifunza kupitia kwako.. [emoji4]
Kameshakimbia hata sikaoni. Yaani kameacha ujumbe halafu kenyewe kamekimbia. πŸ˜€πŸ˜€ mie mzito kuelewa nakuachia wewe hii ya umakini halafu ndio unifundishage na mie ili na sie tupatemo hayo mahela. πŸ˜€πŸ˜€
 
Kameshakimbia hata sikaoni. Yaani kameacha ujumbe halafu kenyewe kamekimbia. [emoji3][emoji3] mie mzito kuelewa nakuachia wewe hii ya umakini halafu ndio unifundishage na mie ili na sie tupatemo hayo mahela. [emoji3][emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]haya tutajuaa
 
Usijua ni kwamba una hiyo 500 ,na mahitaji yako ya msingi ni 2000.
 
Wewe ghalama kwako ni zero na unakula hewa na kulala porini na maji ya kunywa na kuoga unachota mtoni.

Pia muda unakufuata mpaka matikiti yako yaishe ndio mshare usogeee.

Yakikosa wateja hayaozi pia hata mwezi!

Rudia tena kukokotoa weka percent ya upotevu na ghalama ili kuwa na uhalisia kidogo.

Nashukuru hujakimbilia KUBET!
 
Hata biashara ya bodaboda pia huijui, huwezi kumpata dereva boya akakubali akuletee 70k kwa wiki, baada ya mwaka eti umuuzie laki 7.

Huwa baada ya mwaka inakuwa yake na hakupi hata sh kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…