Ngoja nikupe facts why Toyota Crown ni bora kuliko Toyota Mark X

Ngoja nikupe facts why Toyota Crown ni bora kuliko Toyota Mark X

TOYOTA CROWN (GRS 180’s)kuna
-royal saloon
-athlete

Hapa Engine zake kuna 2GR,3GR,4GR

napia kuna Majesta UZ series engine

Lakini pia kuna G-packages zinakuja na extra features

So kabla hujanunua jua unachokitaka
Helo! Upo sawa kabisa ila sijaelewa chochote! 😂 😂 😂 😂
 
Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x

Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea

Crown ina more comfortable seats kuliko mark x, mark x ni pure sport car ina sport seats, which are comfortable ila sio kwa level za crown, tena ukutane na royal saloon G package ndo kabisaaaa bala zito

Crown ina soft suspension hasa royal saloon mneso wa mule ndani sio poa mark x ni sport executive sedan inakuja na stiff suspension

Crown ina advanced stability control kuliko mark x bro ndo mana crown unaweza kata kona na speed kali bila gari kuvuta upande mmoja, mark x huwa inavuta upande mmoja ukikata kona na speed kubwa na pia mark x ni nyepesi kuliko koz ina 1500 na crown ina 1620kg hivyo mark x stability sio nzuri kuliko crown

Crown ina active noise cancelation kelele za nje haziingii ndani ni presidential level kaka, ndo japanese lemuosine ya viongozi waaandamizi japan koz ni full size executive sedan

Crown ina body ngumu kuliko mark x na mfano G package inakuja mpka na 8airbags

Tukija kwa grs200 wanapenda kuziita new model ina tech ambazo huwezi zipata kwa mark x bro

Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008

Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na air bag katikati ya siti ya dereva na abiria (center airbag), kwenye ajali msigongane mkaumizana

Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba

Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na pedestrian detection hugongi mtu kaka inapiga alarm

Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukiwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa

Hizo features zote hapo hamna mark x yenye nazo

Generaly crown ni full size executive sedan yenye presidential levels inakuwa compared na benz E class, bmw 5series, aud a6, jagaur xf, nissan fuga, lexus gs,

Ila mark x ni compact executive sport sedan haina presidetial levels of comfort kama crown inakuwa compared na bmw 3series, aud a4, nissan skyline, mazda 6, benz c class

Na hapo sijagusia toyota crown majesta level za S class hizo mzee baba starehe ya humo sio poaa

Crown ku share engine na mark x hakuifanyi hizi gari ziwe sawa,

Benz E class ina 1790cc M271 engine same ipo kwenye c class ,ila haifanyi c class iwe sawa na E class eti kisa zina share engine

Mark x ni gari nzuri kama unapenda sport looking sedan yenye comfort nzuri

Ila kama unataka maximum comfort, stability, handling, space toyota crown ni balaa zito mzee baba

Mimi ni DRMECHANICS_TZ

Utanipata instagram kwa hilo jina na tiktok pia youtube kuna review kali sana ya crown soon itakuwa hewanj na reciew nyingi mbali mbali nimefanga account inaitwa ROC TV

NAWASILISHAView attachment 2479198View attachment 2479200
Naombeni kupata majibu haya jamani Toyota crown Royal saloon GRS200
Kutoka Japan km 120000 ya mwaka 2009 ikifika natakiwa kubadilisha vitu gani ambavyo vitaifanya gari kuwa bora zaidi? Na gharama zake za spare zikoje?
 
Naombeni kupata majibu haya jamani Toyota crown Royal saloon GRS200
Kutoka Japan km 120000 ya mwaka 2009 ikifika natakiwa kubadilisha vitu gani ambavyo vitaifanya gari kuwa bora zaidi? Na gharama zake za spare hochote zaidi ya oil na minor check up

Naombeni kupata majibu haya jamani Toyota crown Royal saloon GRS200
Kutoka Japan km 120000 ya mwaka 2009 ikifika natakiwa kubadilisha vitu gani ambavyo vitaifanya gari kuwa bora zaidi? Na gharama zake za spare zikoje?
Mkuu
Huna sababu ya kubadili kitu zaidi ya service
 
Kuna tofauti Gani kati ya "crown" na crown athletic" ?
Crown ni model ya gari "toyota crown". Athlete ni trim level. Toyota crown ina trim levels 3 ambazo ni "athlete, royal saloon na majesta". Hizi trim levels ni features/sifa ambazo zinaitofautisha crown 1 na nyingine japokuwa zote ni crown. Mfano athlete ina muonekano wa kisport na ina fearures za kisport ukilinganisha na royal saloon ambayo imekaa kiutu uzima zaidi japokuwa zote ni models za crown.
 
Sawa
 
Samahani naomba kufahamu kwa wenye uzoefu, nataka kununua gar aina ya crown ila ninashauliwa kua niachane nazo kwakua zinakula sana mafuta, nilikua naomba kujua kati ya crown athlete ya cc 2500 na gx 100 ipi inakula mafuta vzr!?
Gx 100 iko poa then ni ngumu
 
Kimuonekano mark x ni kali kuliko crown
 
Attachments

  • IMG_5054.jpeg
    IMG_5054.jpeg
    145.2 KB · Views: 43
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukiwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa
Hii hii GRS200 ama ni zile za kuanzia 2017? Mimi Nina GRS204 full option lakini Cruise control ni ya kawaida sio dynamic (nilikuwa na lexus is200 ya 1999 ilikuwemo). Haina collision avoidance system zaidi ya parking sensors. Sijawahi ona driver monitoring system ama labda kwa sababu sijawahi kusinzia 😀

Kama ndio hii GRS niambie how to use hizo features ulosema.

Halafu kwa anaejua, hapa kwenye usukani kuna button ina icon ya gari na kama mlango ulofunguka, sijawahi kujua function yake ni ipi naona hata nikipress hakuna kinachotokea
 
Mtoa mada ameongeza chumvi ya kutosha kwenye uzi wake, hasa pale alipoanza kusema "ndio gari pekee/kwanza duniani"
 
Hii hii GRS200 ama ni zile za kuanzia 2017? Mimi Nina GRS204 full option lakini Cruise control ni ya kawaida sio dynamic (nilikuwa na lexus is200 ya 1999 ilikuwemo). Haina collision avoidance system zaidi ya parking sensors. Sijawahi ona driver monitoring system ama labda kwa sababu sijawahi kusinzia 😀

Kama ndio hii GRS niambie how to use hizo features ulosema.

Halafu kwa anaejua, hapa kwenye usukani kuna button ina icon ya gari na kama mlango ulofunguka, sijawahi kujua function yake ni ipi naona hata nikipress hakuna kinachotokea
Labda alikua anasemea ile G package
 
Na
Gari yoyote ikishakuwa modern inageuka kuwa mti wa Chismass.

Jana nimekutana na LC200 VX.R Platnum edition.

Yaani kuliwasha tu mataa yamejaa kwenye dashboard. Nikawakumbuka wajapani wa JF wanazisifia kwamba ni chuma chuma.

View attachment 2479307

Hizo Lexus GS au Crown Majesta ni kwa sababu watu hawana hela za kununua hayo magari.

Mziki wa kutunza UR engines siyo wa kitoto. Hizi ni moja ya engine za toyota zenye umeme kila mahali.

Kuna mtu ana GS460 yaani haiishi miezi miwili hajanicheck maana ikizima taa hii inawaka hii.
Mie ndo naichukia hapo tu
 
Toka nimejiunga JF kwa I'd hii naona watu wanataja majina ya magari Mara hii hapana Mara hii inakula mafuta ,Mara hii haina spear ila nashangaa Mimi bado Niko na Corolla yangu hainisumbui Wala Mimi siisumbui hata kidogo ,rough road kama lami ,hakika wanakijiji wananikoma kwa sifa na mwendo wangu
 
  • Kicheko
Reactions: apk
Back
Top Bottom