Tuff
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 300
- 700
Hiyo ndo baba lao katika trim levels za crown. Ila cc zake sasa inabidi kwenye mafuta usiwe mbahili.Crown Majesta naikubali mnoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndo baba lao katika trim levels za crown. Ila cc zake sasa inabidi kwenye mafuta usiwe mbahili.Crown Majesta naikubali mnoo
Punguza uzito wa mguu kwenye gas pedal.Crown 5speed ni muungurumo wa engine ni mkubwa, kuna namna yeyote ya kupunguza?