Ngoja nikupe facts why Toyota Crown ni bora kuliko Toyota Mark X

TOYOTA CROWN (GRS 180’s)kuna
-royal saloon
-athlete

Hapa Engine zake kuna 2GR,3GR,4GR

napia kuna Majesta UZ series engine

Lakini pia kuna G-packages zinakuja na extra features

So kabla hujanunua jua unachokitaka
Helo! Upo sawa kabisa ila sijaelewa chochote! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Naombeni kupata majibu haya jamani Toyota crown Royal saloon GRS200
Kutoka Japan km 120000 ya mwaka 2009 ikifika natakiwa kubadilisha vitu gani ambavyo vitaifanya gari kuwa bora zaidi? Na gharama zake za spare zikoje?
 
Naombeni kupata majibu haya jamani Toyota crown Royal saloon GRS200
Kutoka Japan km 120000 ya mwaka 2009 ikifika natakiwa kubadilisha vitu gani ambavyo vitaifanya gari kuwa bora zaidi? Na gharama zake za spare hochote zaidi ya oil na minor check up

Naombeni kupata majibu haya jamani Toyota crown Royal saloon GRS200
Kutoka Japan km 120000 ya mwaka 2009 ikifika natakiwa kubadilisha vitu gani ambavyo vitaifanya gari kuwa bora zaidi? Na gharama zake za spare zikoje?
Mkuu
Huna sababu ya kubadili kitu zaidi ya service
 
Kuna tofauti Gani kati ya "crown" na crown athletic" ?
Crown ni model ya gari "toyota crown". Athlete ni trim level. Toyota crown ina trim levels 3 ambazo ni "athlete, royal saloon na majesta". Hizi trim levels ni features/sifa ambazo zinaitofautisha crown 1 na nyingine japokuwa zote ni crown. Mfano athlete ina muonekano wa kisport na ina fearures za kisport ukilinganisha na royal saloon ambayo imekaa kiutu uzima zaidi japokuwa zote ni models za crown.
 
Sawa
 
Samahani naomba kufahamu kwa wenye uzoefu, nataka kununua gar aina ya crown ila ninashauliwa kua niachane nazo kwakua zinakula sana mafuta, nilikua naomba kujua kati ya crown athlete ya cc 2500 na gx 100 ipi inakula mafuta vzr!?
Gx 100 iko poa then ni ngumu
 
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukiwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa
Hii hii GRS200 ama ni zile za kuanzia 2017? Mimi Nina GRS204 full option lakini Cruise control ni ya kawaida sio dynamic (nilikuwa na lexus is200 ya 1999 ilikuwemo). Haina collision avoidance system zaidi ya parking sensors. Sijawahi ona driver monitoring system ama labda kwa sababu sijawahi kusinzia πŸ˜€

Kama ndio hii GRS niambie how to use hizo features ulosema.

Halafu kwa anaejua, hapa kwenye usukani kuna button ina icon ya gari na kama mlango ulofunguka, sijawahi kujua function yake ni ipi naona hata nikipress hakuna kinachotokea
 
Mtoa mada ameongeza chumvi ya kutosha kwenye uzi wake, hasa pale alipoanza kusema "ndio gari pekee/kwanza duniani"
 
Labda alikua anasemea ile G package
 
Na
Mie ndo naichukia hapo tu
 
Toka nimejiunga JF kwa I'd hii naona watu wanataja majina ya magari Mara hii hapana Mara hii inakula mafuta ,Mara hii haina spear ila nashangaa Mimi bado Niko na Corolla yangu hainisumbui Wala Mimi siisumbui hata kidogo ,rough road kama lami ,hakika wanakijiji wananikoma kwa sifa na mwendo wangu
 
Reactions: apk
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…