Ngoja nikuvalie njuga Mfyuuuuuu(mfyonyo)

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2007
Posts
8,189
Reaction score
7,853
Haijalishi weee hapa tunazunguzmia Mfyooonyo yaani unasikia mfyuuuuu mtu katoa yake na imevutwa kama mpira wa manati, yaani inaanza mbali na ikimalizika lazima utaona cha mtema kuni😂


🤪Wee acha tu

Basi unasikia ' unajifanya mjanja sio mfyuuuuuuuuuuuu
ngoja nikuvalie njuga.... qqmmk mfyuuuuuu😂

enzi hizo njuga ilikuwa kiatu chochote oversize, kimejaa vumbi, kina soli orijino,kina soli ya ngozi, bati,na raba mtoni chini na imegandishwa na gundi ya iliyotengenezwa kwa fundi(mchanganyiko wa petroli na styroform)na kishashonwa mpaka fundi viatu akikuona walahi anafunga duka, yaani hataki hata kupoteza nyuzi au soli au gundi nyingine kuongezea na kupoteza mda wake! hata ukiwa na gobole au dala ngapi Na usiombe ukatwe mtama na njuga hiyo! weee Mfyuuuuuuuuu






#kitufechamfyonyoMfyuuu

😡🤣😯.....ongeza Mfyoooonyo
 
Bangi uliovuta ilikauka vizur !? Mfyuuuu 🤧🤧🤧
Hapo umupenga bange lote limekutoka, mfyuuuuuu😂

Ndii nimesema hakuna emoji yake, wewe umelazimisha unapenga makamasi au bange lako bichi mfyuuuuu
😂😂
 
Kombolela na kudundisha kitenesi wapi na wapi mkuu.
Kombolela ni mchezo wa kujificha then anaezinga ndio anakazi ya kuwatafuta waliojificha ile unakuta kombolela Juma kombolela Hadija na huo mpira unakuwepo kwajili ya kuputua ili kokomboa waliofichuliwa
 
Mfyuuuuuu😅
Haya umetengua kitendawili Mkuu.😅 haya tuendelee, Mfyuuuuu
 
Jinsia yako?!
Umri wako?
Umeoa?
 
Jinsia yako?!
Umri wako?
Umeoa?
Id yako unayotumia kwenye majukwaa mengine ina Jinsia? 🤷‍♂️ Mfyuuuuuuu

Unajua unachokinena? 😋 eehhh
Unataka jinsia yangu ili nikuvalie njuga? au iweje?

Umri? wa nini, wewe👉 Mfyuuuuuuuuu!!

Unahitaji Mume?😆

Mfyuuuuuuuuuu
😂😛😆😆😆 nakucheki👀
 
Reactions: EEX
Ndio hiyo👆 Id yako nyingine?
Unashangaa na nini sasa?
Unapenda kuvaliwa njuga? Mfyuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…