Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

Wakulungwa tunaelewa mbona.
 
[emoji3][emoji23][emoji16] ya kale dhahab aiseee..!!
 
Naona umezungumzia mpira tu alafu una jiita mhuni...mkuu wewe hujafanya uhuni wowote!
 
sinza star na abajalo ,wakikutana ngoma inakuwa si ya kitoto mitaa ya sinza,

lazima watu walale saa moja usiku

Abuja wana Dame Mkobo, Sinza Starr wana Marehem Pati! Umesahau na waKush kuna Jimmy Chizi
 
Sasa uhuni ukowapi hapo? naona yalikuwa maisha ya kawaida tu ya vijana hayo hata vijana wa sasa wanayaishi tena kuzidi hayo.
 
Sasa uhuni ukowapi hapo? naona yalikuwa maisha ya kawaida tu ya vijana hayo hata vijana wa sasa wanayaishi tena kuzidi hayo.
utemi wa zamani si kama wa sasa, siku izi polisi wapo karibu sana,

zamani wahuni wanaweza kufunga mtaa siku nzima wanafanya wanacho taka, saa ivi kidogo tu wamekutia pingu
 
utemi wa zamani si kama wa sasa, siku izi polisi wapo karibu sana,

zamani wahuni wanaweza kufunga mtaa siku nzima wanafanya wanacho taka, saa ivi kidogo tu wamekutia pingu
Sasa hao wanatofauti gani na panya road? Ikifika 2050 watakaokuwa hai vijana watasimuliwa stori za panya road wakati huo tena kutakua na wahuni wengine wa miaka hiyo. Kila miaka na wahuni wake na wote wanazidiana au wanatofautiana namna walivyofanya uhuni wao.
 
Watu wa zaman huwa mnajidai nyie ndo bora sana kuliko vijana wa Sasa lakin mlikuwa washamba tu
Hahahaa but to be honest maisha ya miaka 80s 90s yalikuwa yana usela mavi mnoo...

Yaani watu kupigana mapanga vyupa au vile viti vya chuma ilikuwa kawaida sana watu wakishinda maskani story zao ni kuzamia tu kwenda abroad .. kama ulizaliwa miaka hiyo halafu ukanusurika kuto kuharibika aisee ishukuru dunia wewe ni special
 
Matukio kama hayo nimeya shuhudia sana miaka hiyo moro town sultan area ilikuwa balaa ...halafu waweza kukuta ugomvi wenyewe ni wakijinga tu [emoji1][emoji1]

Watu wanagombania demu .kamari .Au wanataka u-brother hood miaka ya zamani ilikuwa watu wana mabeef yakishamba unakuta vijana wa mtaa huu hawa piti mtaa ule na wa mtaa ule hawapiti mtaa huu
 
Miaka hiyo (1995) kuna mtu aliniibia nguo zangu, kwa hasira tu nikausaula hadharani. Yaani nilivua chupi na kunya barabarani huku nikitembea uchi na dushe limesimama kwa hasira. Watu wakapiga kelele lakini wapi, akaja mshikaji kunishika mkono na kunipeleka kwake kujisitiri. Nashangaa jioni naona sanduku la nguo za mitumba naletewa nyumbani na pesa tasilimu kiasi cha 55,000 za kununua nikitakacho. Ilikuwa June 1995. Eti siku hizi mtu anajiita muhuni anapiga punyeto gizani, tena chumbani uvunguni mwa kitanda.
 
Vijana wa 95 kuja juu wengi wameharibika, kijana unavaa suruali inakubana ili iweje? Kuna nilikutana naye alinipa mgongo nikajua manzi kabisa nikataka msemsesha alipogeuka kumbe dume!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]kmmk
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…