Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi

Unapatikana maeneo gani Dar es Salaam, nahitaji kufanya marekebisho ndani ya nyumba yangu, Jikoni, na Choo cha master bedroom.
Nahitaji kujua eneo unalopatikana ili nijue urahisi au ugumu kukufikisha eneo langu, na mawasiliano yako.
Napatikana mtaa wa KIgezi ,Kata ya Buyuni,Wilayani Ilala
 
Mtaalam greater than .....
Nina maswali....
Kuhusu kulaza au kusimamisha matofali kwenye ujenzi wa nyumba ya kawaida ghorofa 1 kipi ni sahihi?
Maana kuna wanaosema kuwa ukitumia nondo 4 za mm16 kwenye nguzo tofali unaweza kusimamisha na wala hamna shida.
Then kuna wanasema ukitumia nondo 6 za mm12 basi tofali ndo utazilaza, na wakati huohuo bado kuna wanaotumia nondo hizo 6 za mm 12 na bado tofali zinasimamishwa.
Nimeona ujenzi wa nyumba Uganda, Nigeria, Kenya mara nyingi tofali hawalazi tena basi za kwao ni hollow blocks, sasa najuliza kipi ni sahihi kiutaalamu.
Then kwa sasa kuna ujenzi ule wa pre casted slab ambapo unakuta kwenye slab wanapanga tu hollow blocks, then kuna mapande marefu ya zege wanayapanga, then kuna wire mesh inatandikwa au wanaweka tu kichanja cha nondo chache then wanamwaga zege, najiuliza ujenzi huo ni sahihi?
Niseme yoyote kwa yote binafsi naamini/nahisi ujenzi huo wooote nilioutaja hapo juu nia yao ni kupunguza gharama sasa je huo ujenzi kiutaalam ni sahihi au ndo baada ya miaka kadhaa kupita tutegemee majanga?
 
Mkuu katika Ujenzi, iwe ni high au low cost construction method, kitaalam SAFETY ndiyo First Priority! Kwahiyo ni matarajio kwamba kwa aina zote za Ujenzi ulizoongelea Maximum Safety requirements zimefikiwa regardless of the size and type of materials used na hapa ndipo Utaalam unapohitajika
 
Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi.

1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi.
Unabisha....?
Nenda Msasani makangira(Namanga),
Kuna nyumba kadhaa hazina msingi.

2.Unyevu ndiyo sababu kubwa ya kuharibika kwa Majengo .
unabisha....?
Chumvi,ukungu na kutu vyote hutokana na unyevu.

3.Madirisha ya wavu ni bora kuliko ya Vioo.(Kwa mikoa ya Pwani)
Unabisha...?
Vizio umeme ukikatika kwenye nyumba za madirisha ya Aluminium, utaona watu wanavyokimbilia nje.

4.Goba,Mbezi,Kimara na Kinyerezi ni maeneo ambayo ujenzi wa Msingi ni gharama zaidi kuliko maeneo yoyote....
Unabisha....?
Waulize wenye nyumba Goba.

5.Pavements ni moja chanzo kikubwa cha joto ndani nyumba
Unabisha....?

Nenda kwenye nyumba ambapo eneo lote la nje ji paved,,kaa nje mda mchana, utaona fukuto lake.
Hii kuandika "unabisha??" Inasaidia nini?
Kama unataka watu wajue we andika tu points zako, ukianza kuuliza kama watu wanabisha au hawabishi ni wazi kua umejiandaa kubishana na sio kuelewesha
 
Mtaalam greater than .....
Nina maswali....
Kuhusu kulaza au kusimamisha matofali kwenye ujenzi wa nyumba ya kawaida ghorofa 1 kipi ni sahihi?
Maana kuna wanaosema kuwa ukitumia nondo 4 za mm16 kwenye nguzo tofali unaweza kusimamisha na wala hamna shida.
Then kuna wanasema ukitumia nondo 6 za mm12 basi tofali ndo utazilaza, na wakati huohuo bado kuna wanaotumia nondo hizo 6 za mm 12 na bado tofali zinasimamishwa.
Nimeona ujenzi wa nyumba Uganda, Nigeria, Kenya mara nyingi tofali hawalazi tena basi za kwao ni hollow blocks, sasa najuliza kipi ni sahihi kiutaalamu.
Then kwa sasa kuna ujenzi ule wa pre casted slab ambapo unakuta kwenye slab wanapanga tu hollow blocks, then kuna mapande marefu ya zege wanayapanga, then kuna wire mesh inatandikwa au wanaweka tu kichanja cha nondo chache then wanamwaga zege, najiuliza ujenzi huo ni sahihi?
Niseme yoyote kwa yote binafsi naamini/nahisi ujenzi huo wooote nilioutaja hapo juu nia yao ni kupunguza gharama sasa je huo ujenzi kiutaalam ni sahihi au ndo baada ya miaka kadhaa kupita tutegemee majanga?
Natumaini u mzima...
Tuanze kwanza na hapo kwenye suala la Nguzo.
Kwenye ujenzi wa Ghorofa,huwa Kuna mifumo mikubwa miwili ya Structure/mhimili.
  • Framed structure: Hapa Nguzo,Slab na beams ndiyo zitakazokuwa zinabeba mzigo wote wa jengo ...yaan ,nguzo,beam na slab zitajengwa mpaka kufika level ya mwisho ya ghorofa halafu kuta zitakuja kuwekwa baadaye.
  • Non-framed structure:Hapa jengo linategemea Ukuta ,beam na slab peke yake.
  • Mixed : Kutokana na mahesabu Jengo linaweza kutgemea mifumo yote miwili kwa wakati.Hii hutegeme mazingira ya jengo lenyewe.
KUhusu Tofali.
1.Kuna vipimo vingi na maelekezo tofauti ya uandaaji tofali hapa duniani.
2.Hii hutokana na upatikanaji wa matilio inayotumika kuandaa tofali.
3.Hata hapa Tanzania, Tofali za mikoa ya Pwani ni nyembamba kuliko bara.
4.Hollow Brocks : mara nyingi hutengenezwa kwa zege au mikoa ambayo ina punje kubwa za mchanga e.g Mbeya
5.Hollow Blocks huwa ni nyepesi (uzito mdogo) kuliko tofali za kawaida ila ni imara zaidi.

Kuhusu Usimamishaji wa Tofali na uwekaji wa nguzo.
Weka ulichozoea kuona, Maamuzi ya ujenzi hasa nguzo,beams,slabs (structure ya jengo) hutokana na mahesabu ya Mhandisi...
 
Mtaalam greater than .....
Nina maswali....
Kuhusu kulaza au kusimamisha matofali kwenye ujenzi wa nyumba ya kawaida ghorofa 1 kipi ni sahihi?
Maana kuna wanaosema kuwa ukitumia nondo 4 za mm16 kwenye nguzo tofali unaweza kusimamisha na wala hamna shida.
Then kuna wanasema ukitumia nondo 6 za mm12 basi tofali ndo utazilaza, na wakati huohuo bado kuna wanaotumia nondo hizo 6 za mm 12 na bado tofali zinasimamishwa.
Nimeona ujenzi wa nyumba Uganda, Nigeria, Kenya mara nyingi tofali hawalazi tena basi za kwao ni hollow blocks, sasa najuliza kipi ni sahihi kiutaalamu.
Then kwa sasa kuna ujenzi ule wa pre casted slab ambapo unakuta kwenye slab wanapanga tu hollow blocks, then kuna mapande marefu ya zege wanayapanga, then kuna wire mesh inatandikwa au wanaweka tu kichanja cha nondo chache then wanamwaga zege, najiuliza ujenzi huo ni sahihi?
Niseme yoyote kwa yote binafsi naamini/nahisi ujenzi huo wooote nilioutaja hapo juu nia yao ni kupunguza gharama sasa je huo ujenzi kiutaalam ni sahihi au ndo baada ya miaka kadhaa kupita tutegemee majanga?
Idadi ya nguzo katika jengo huamuliwa na
  • Uzito wa jengo husika
  • Uhimilivu wa ardhi husika
  • Ukubwa wa nguzo
Kwenye ghorofa ,tofali zinaweza kuwekwa kama ukuta wa
  • Kutenganisha vyumba
  • Kukinga dhidi ya upepo
  • Unaofanya kazi kama nguzo
  • Kushikilia milango na madirisha...
Ukubwa wa nguzo,umbali kutoka nguzo moja mpaka nyingine na ukubwa wa nondo huamuliwa huamuliwa na ukubwa wa forces zitakazokuwa zina act dhidi ya jengo...

NOTE:
Mmiliki ,Mteja na Asiye na taaluma ya Uhandisi ,asihusike katika kuamua masuala ya structure/mhilimili pasi ushiriki wa Mhandisi.
 
Hii kuandika "unabisha??" Inasaidia nini?
Kama unataka watu wajue we andika tu points zako, ukianza kuuliza kama watu wanabisha au hawabishi ni wazi kua umejiandaa kubishana na sio kuelewesha
Ni mapokeo ya mtu tu,

Nimejiandaa kuelimisha...
 
Mkuu katika Ujenzi, iwe ni high au low cost construction method, kitaalam SAFETY ndiyo First Priority! Kwahiyo ni matarajio kwamba kwa aina zote za Ujenzi ulizoongelea Maximum Safety requirements zimefikiwa regardless of the size and type of materials used na hapa ndipo Utaalam unapohitajika
Kuna takribani mifumo 15 ya ujenzi wa slab....
Mara nyingi huamuliwa na matumizi ya jengo,uzito wa jengo,upatikanaji wa matilio,bajeti ya ujenzi na ujuzi wa Mhandisi...

Huo mfumo uliotaja wala siyo mpya,upo tangia mda.
Chuo nilichosoma, imetumia Mifumo 5 tofauti katika ujenzi wa slab zake ,huo ukiwa mmojawapo.
 
Shukrani Eng. kwa kushare utaalamu wako kwa hiyo inawezekana jengo let say residential G+1 kufanyiwa design kuwa nondo za 12mmm ndo zitumike kwenye nguzo badala ya 16mm?
 
Siyo rahisi kutoa jibu la jumla hivyo...kwa maana,jengo la ghorofa moja ila ni la aina gani ?
  • Makazi
  • Hospital
  • Shule
  • Mahakama
  • Ofisi
  • Ukumbi
  • Kanisa
Hapo kila jengo lina uzito wake,idadi ya matumizi ya watu.
Kama ni la makazi,
  • Juu kuna vyumba vingapi
  • Kazi ya hivyo vyumba
  • Samani zutakazowekwa
  • Ukubwa wa nguzo
  • Aina ya ardhi
  • Unaweka tanki juu
  • Aina ya paa
Ila,Nondo za kwenye Nguzo hazitakiwi zipungue kipenyo cha mm 12.

kwahyo ndiyo mm 12 inaweza kutumika.
 
Shukrani Eng. kwa kushare utaalamu wako kwa hiyo inawezekana jengo let say residential G+1 kufanyiwa design kuwa nondo za 12mmm ndo zitumike kwenye nguzo badala ya 16mm?
Inawezekana kabisa kulingana structural analysis ya jengo husika! Muhimu tu ni kufuata ushauri wa kitaalam
 
Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu
Hebu tuwekee huo ushahidi wa kitaaluma au kisayansi

Nimerodhesha njia nyepesi tu za kupata uthibitisho....
Kama unabisha/mashaka zaidi, we taja kipengele kipi unautata nacho na kwanini ,ili uelimishwe.....
Tulitumwa elimu na tukasoma kweli,tumetumwa kazi na tunafanya kweli, hatubahatishi.
 
Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu
Hebu tuwekee huo ushahidi wa kitaaluma au kisayansi
Tukianza na Pavement....
Eneo lenye nyasi/majani/mimea karibu nyumba.
  • Nyasi/majani huwa yanakaa mpangilio wa hovyo (at macroscopic level),kwa mwanga wa jua utagonga kwenye nyasi na ku-reflect katika angle tofauti tofauti, mwanga mchache utaenda kwenye nyumba....
  • Majani ni translucent:kwahiyo Kuna kiwango cha mwanga kitapenya na kupotelea chini.
  • Pia kwenye majani huwa kuna stomata,ambapo mda wote zinakuwa na maji, kupoza mwanga wa jua.
Pavement
  • Pavement hupangwa na kuunda flat plain/surface,,mwanga ukipiga kwa asilimia kubwa uta-reflect at the same angle....na kuja ndani.
  • Pavers huwa na Solar reflectance index kati ya 50-85,yaani ina akisi sana mwanga, kwahiyo mwingi utakuja kwenye jengo na kuleta joto.
 
Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu
Hebu tuwekee huo ushahidi wa kitaaluma au kisayansi
Kinachoamua utumizi wa matilio flani kwenye ujenzi ni.
  • Gharama ya matilio
  • Upatikanaji
  • Ujuzi
  • Uwezo wa kuhimili joto
  • Uwezo wa kuhimili kemikali
  • Uwezo wa kuhimili umeme
  • Gravity
  • Maji
  • Uwezo wa kuhimili mionzi
Ukienda Bagamoyo na Zanzibar : maghorofa ya Zamani : Yalijengwa kwa chokaa na miti ya mikoko, ndiyo ilikuwa kama nondo.

China na Urusi : kwenye msimu wa baridi kali huwa kuna maonesho ya maghorofa yaliyojengwa kwa barafu peke yake.

Mali na Burkina kuna misikiti ya ghorofa iliyojengwa kwa matope na miti

China wana madaraja ya kujengwa kwa mianzi.

Hapa Bongo ,kuna baadhi ya madaraja ya reli ya TAZARA,ni yamejengwa kwa Mbao.
Hata vyoo vingi vya shimo hapa nchini ni vinawekwa miti,na vinadumu miaka zaidi ya 20.

Kuna Majengo ambayo ngazi zake ni vioo tupu.

Majengo ya Warumi,Aztec,Waroma na Wagiriki ni yametumia mawe na yamedumu kwa zaidi ya miaka 1,000

Soma,,,
10 books of Architecture by Vitruvius
Buildings materials by S.K Duggal
Fundamental of building materials by Joseph Lano
Construction materials by William P spence
 
Back
Top Bottom