greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
- Thread starter
-
- #21
Napatikana mtaa wa KIgezi ,Kata ya Buyuni,Wilayani IlalaUnapatikana maeneo gani Dar es Salaam, nahitaji kufanya marekebisho ndani ya nyumba yangu, Jikoni, na Choo cha master bedroom.
Nahitaji kujua eneo unalopatikana ili nijue urahisi au ugumu kukufikisha eneo langu, na mawasiliano yako.
Mawasiliano yako? niko mbali nawe lakini tutafika tu.Napatikana mtaa wa KIgezi ,Kata ya Buyuni,Wilayani Ilala
Mkuu katika Ujenzi, iwe ni high au low cost construction method, kitaalam SAFETY ndiyo First Priority! Kwahiyo ni matarajio kwamba kwa aina zote za Ujenzi ulizoongelea Maximum Safety requirements zimefikiwa regardless of the size and type of materials used na hapa ndipo Utaalam unapohitajikaMtaalam greater than .....
Nina maswali....
Kuhusu kulaza au kusimamisha matofali kwenye ujenzi wa nyumba ya kawaida ghorofa 1 kipi ni sahihi?
Maana kuna wanaosema kuwa ukitumia nondo 4 za mm16 kwenye nguzo tofali unaweza kusimamisha na wala hamna shida.
Then kuna wanasema ukitumia nondo 6 za mm12 basi tofali ndo utazilaza, na wakati huohuo bado kuna wanaotumia nondo hizo 6 za mm 12 na bado tofali zinasimamishwa.
Nimeona ujenzi wa nyumba Uganda, Nigeria, Kenya mara nyingi tofali hawalazi tena basi za kwao ni hollow blocks, sasa najuliza kipi ni sahihi kiutaalamu.
Then kwa sasa kuna ujenzi ule wa pre casted slab ambapo unakuta kwenye slab wanapanga tu hollow blocks, then kuna mapande marefu ya zege wanayapanga, then kuna wire mesh inatandikwa au wanaweka tu kichanja cha nondo chache then wanamwaga zege, najiuliza ujenzi huo ni sahihi?
Niseme yoyote kwa yote binafsi naamini/nahisi ujenzi huo wooote nilioutaja hapo juu nia yao ni kupunguza gharama sasa je huo ujenzi kiutaalam ni sahihi au ndo baada ya miaka kadhaa kupita tutegemee majanga?
Hii kuandika "unabisha??" Inasaidia nini?Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi.
1.Jengo/Nyumba siyo lazima liwe na msingi.
Unabisha....?
Nenda Msasani makangira(Namanga),
Kuna nyumba kadhaa hazina msingi.
2.Unyevu ndiyo sababu kubwa ya kuharibika kwa Majengo .
unabisha....?
Chumvi,ukungu na kutu vyote hutokana na unyevu.
3.Madirisha ya wavu ni bora kuliko ya Vioo.(Kwa mikoa ya Pwani)
Unabisha...?
Vizio umeme ukikatika kwenye nyumba za madirisha ya Aluminium, utaona watu wanavyokimbilia nje.
4.Goba,Mbezi,Kimara na Kinyerezi ni maeneo ambayo ujenzi wa Msingi ni gharama zaidi kuliko maeneo yoyote....
Unabisha....?
Waulize wenye nyumba Goba.
5.Pavements ni moja chanzo kikubwa cha joto ndani nyumba
Unabisha....?
Nenda kwenye nyumba ambapo eneo lote la nje ji paved,,kaa nje mda mchana, utaona fukuto lake.
Natumaini u mzima...Mtaalam greater than .....
Nina maswali....
Kuhusu kulaza au kusimamisha matofali kwenye ujenzi wa nyumba ya kawaida ghorofa 1 kipi ni sahihi?
Maana kuna wanaosema kuwa ukitumia nondo 4 za mm16 kwenye nguzo tofali unaweza kusimamisha na wala hamna shida.
Then kuna wanasema ukitumia nondo 6 za mm12 basi tofali ndo utazilaza, na wakati huohuo bado kuna wanaotumia nondo hizo 6 za mm 12 na bado tofali zinasimamishwa.
Nimeona ujenzi wa nyumba Uganda, Nigeria, Kenya mara nyingi tofali hawalazi tena basi za kwao ni hollow blocks, sasa najuliza kipi ni sahihi kiutaalamu.
Then kwa sasa kuna ujenzi ule wa pre casted slab ambapo unakuta kwenye slab wanapanga tu hollow blocks, then kuna mapande marefu ya zege wanayapanga, then kuna wire mesh inatandikwa au wanaweka tu kichanja cha nondo chache then wanamwaga zege, najiuliza ujenzi huo ni sahihi?
Niseme yoyote kwa yote binafsi naamini/nahisi ujenzi huo wooote nilioutaja hapo juu nia yao ni kupunguza gharama sasa je huo ujenzi kiutaalam ni sahihi au ndo baada ya miaka kadhaa kupita tutegemee majanga?
Idadi ya nguzo katika jengo huamuliwa naMtaalam greater than .....

Ni mapokeo ya mtu tu,Hii kuandika "unabisha??" Inasaidia nini?
Kama unataka watu wajue we andika tu points zako, ukianza kuuliza kama watu wanabisha au hawabishi ni wazi kua umejiandaa kubishana na sio kuelewesha
Kuna takribani mifumo 15 ya ujenzi wa slab....Mkuu katika Ujenzi, iwe ni high au low cost construction method, kitaalam SAFETY ndiyo First Priority! Kwahiyo ni matarajio kwamba kwa aina zote za Ujenzi ulizoongelea Maximum Safety requirements zimefikiwa regardless of the size and type of materials used na hapa ndipo Utaalam unapohitajika
Shukrani Eng. kwa kushare utaalamu wako kwa hiyo inawezekana jengo let say residential G+1 kufanyiwa design kuwa nondo za 12mmm ndo zitumike kwenye nguzo badala ya 16mm?Kuna takribani mifumo 15 ya ujenzi wa slab....
Mara nyingi huamuliwa na matumizi ya jengo,uzito wa jengo,upatikanaji wa matilio,bajeti ya ujenzi na ujuzi wa Mhandisi...
Huo mfumo uliotaja wala siyo mpya,upo tangia mda.
Chuo nilichosoma, imetumia Mifumo 5 tofauti katika ujenzi wa slab zake ,huo ukiwa mmojawapo.
Siyo rahisi kutoa jibu la jumla hivyo...kwa maana,jengo la ghorofa moja ila ni la aina gani ?Shukrani Eng. kwa kushare utaalamu wako kwa hiyo inawezekana jengo let say residential G+1 kufanyiwa design kuwa nondo za 12mmm ndo zitumike kwenye nguzo badala ya 16mm?
Inawezekana kabisa kulingana structural analysis ya jengo husika! Muhimu tu ni kufuata ushauri wa kitaalamShukrani Eng. kwa kushare utaalamu wako kwa hiyo inawezekana jengo let say residential G+1 kufanyiwa design kuwa nondo za 12mmm ndo zitumike kwenye nguzo badala ya 16mm?
Yes sir.Inawezekana kabisa kulingana structural analysis ya jengo husika! Muhimu tu ni kufuata ushauri wa kitaalam
Kwahiyo matilio zote za ujenzi zina uwezo sawa,ila ni namna utakavyo zitumia.
Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu5.Pavements ni moja chanzo kikubwa cha joto ndani nyumba
Unabisha....?
Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu
Hebu tuwekee huo ushahidi wa kitaaluma au kisayansi
Tukianza na Pavement....Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu
Hebu tuwekee huo ushahidi wa kitaaluma au kisayansi
Kinachoamua utumizi wa matilio flani kwenye ujenzi ni.Hizi hitimisho ulizofikia ni lazima zithibitishwe kitaaluma sio kulopoka tu
Hebu tuwekee huo ushahidi wa kitaaluma au kisayansi