Ngoja niwape siri: Lissu anatamani akatwe jina na NEC ili apitie mlango wa nyuma kuutwaa Urais

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Habari waungwana!
Ngoja niwaambie jambo ambalo linaweza kuonekana la kawaida au la kipuuzi ila ndio ukweli uliositirika.
Lissu ukimsikiliza vizuri kwenye speech zake kuna jambo analiongea . Jambo hilo inaonyesha watu wenye nguvu wako nyuma yake. Na Lissu anadubiri mpenyo kuwatukia hao watu kuukwaa Urais. Mipenyo iko 3.
1. Ashauvuka, hakuna aliyeingia kwenye mtego wake.
2. Huu wa pili tutapata jibu tarehe 25 wiki ijayo.
3.Kwenye utangazaji wa matokeo.
Hii mitego Lissu ndio huitegemea sana, hapa NEC wasipokuwa makini watatimiza adhma ya Lissu kiulaini.
 
Nadhani upelekwe Dodoma kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwani nchi yetu haina vyombo vya usalama au vyote vimeelekeza akili yao chato kwa mzaa baba
 
Mbona hujafafanua kwa namna gani...

Ume - hit around the bush....
 
Habari waungwana!
Ngoja niwaambie jambo ambalo linaweza kuonekana la kawaida au la kipuuzi ila ndio ukweli uliositirika.
Lissu ukimsikiliza vizuri kwenye speech zake kuna jambo analiongea . Jambo hilo inaonyesha watu wenye nguvu wako nyuma yake. Na Lissu anadubiri mpenyo kuwatukia hao watu kuukwaa Urais. Mipenyo iko 3.
1. Ashauvuka, hakuna aliyeingia kwenye mtego wake.
2. Huu wa pili tutapata jibu tarehe 25 wiki ijayo.
3.Kwenye utangazaji wa matokeo.
Hii mitego Lissu ndio huitegemea sana, hapa NEC wasipokuwa makini watatimiza adhma ya Lissu kiulaini.
akatwe sikatwe hawezi kuwa raisi, na huenda akakatwa kisheria, wagombea wenzake wa uraisi hawamtaki kwa umoja wao, na akikatwa furaha ni kwa membe
 
Kama mleta mada ana mke na watoto wanaomtegemea basi imekula kwao. Anatakiwa akimbizwe Milembe haraka sana kabla kichaa hakijaongezeka.
 
Back
Top Bottom