Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Nilitaka kulike apa nikakumbuka ni upinde,nikatoka mbio,super Sonic speed
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie unadhan hata huko PM ningekujaaa?? Huu uzi kwa walio single,

Mie niko double kwa watu zaidi ya m1, sina shida na nyege za reja rejaa, poleeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
mambo ni motoo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie unadhan hata huko PM ningekujaaa?? Huu uzi kwa walio single,

Mie niko double kwa watu zaidi ya m1, sina shida na nyege za reja rejaa, poleeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wewe
Hainaga makombo ujue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie unadhan hata huko PM ningekujaaa?? Huu uzi kwa walio single,

Mie niko double kwa watu zaidi ya m1, sina shida na nyege za reja rejaa, poleeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha aisee
 
Back
Top Bottom