Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Wazee, naombeni tugawane mmoja mmoja. Mimi nilimchagua sophy27 tangu awali.

Lakini naona Satoh Hirosh mzabzab Glenn wanamnyemelea. Hebu nendeni kwa wengine.

Nakadori nakuomba uwe mlinzi wangu katika hili. Naona wivu. Natamani kujinyonga.
Mimi sijanyemelea nimeitwa na nimetumiwa hadi nauli mkuu.
Basi tukutane kwake achague mmoja lakini tusigombane🤣🤣
 
Kakutumia mpaka nauli?

Basi najitoa katika ligi. Inshallah na iwe kheri kwenu.

Ni ngumu mno kumtenganisha mwanamke aliyemng'ang'ania mwanaume.
Mkuu haya ni masihara tu.
Pambania kombe huenda huyo ni mkeo.
Huyu ni mtani wangu usiogope kaka
 
We nawe jikaze bwana mbona unakuwa lege hvoo
Ogopa sana mwanamke aliye tayari kutumia visenti vyake kwa ajili ya mwanaume. Humuambii kitu.

Sasa visenti vyangu nikimhonga, anavielekeza kwa Glenn

Hapana aisee. Naishia hapa. Ligi haina balance.
 
Ogopa sana mwanamke aliye tayari kutumia visenti vyake kwa ajili ya mwanaume. Humuambii kitu.

Sasa visenti vyangu nikimhonga, anavielekeza kwa Glenn

Hapana aisee. Naishia hapa. Ligi haina balance.
Na wewe unamsikiliza Glenn ?? Shauri yako
 
Ogopa sana mwanamke aliye tayari kutumia visenti vyake kwa ajili ya mwanaume. Humuambii kitu.

Sasa visenti vyangu nikimhonga, anavielekeza kwa Glenn

Hapana aisee. Naishia hapa. Ligi haina balance.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana.
sophy27 msikilize kijana huyu
 
Duuuuuh
Kuna ambao tumeshatukanwa DM hebu tukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…