Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaa kumbe!! Hapo nimekuelewa!✌️✌️Sipendi kuitwa madam
Mimi sijanyemelea nimeitwa na nimetumiwa hadi nauli mkuu.Wazee, naombeni tugawane mmoja mmoja. Mimi nilimchagua sophy27 tangu awali.
Lakini naona Satoh Hirosh mzabzab Glenn wanamnyemelea. Hebu nendeni kwa wengine.
Nakadori nakuomba uwe mlinzi wangu katika hili. Naona wivu. Natamani kujinyonga.
MamaSipendi kuitwa madam
Nyie waarabu wa unguja msituchoshe hapa Satoh Hirosh 🤣🤣🤣Nakusalimu pia kaka.
Halafu ukiniitaga madam natamanigi nikunase makonzi ujue😆
Kakutumia mpaka nauli?Mimi sijanyemelea nimeitwa na nimetumiwa hadi nauli mkuu.
Basi tukutane kwake achague mmoja lakini tusigombane🤣🤣
Mkuu haya ni masihara tu.Kakutumia mpaka nauli?
Basi najitoa katika ligi. Inshallah na iwe kheri kwenu.
Ni ngumu mno kumtenganisha mwanamke aliyemng'ang'ania mwanaume.
Ogopa sana mwanamke aliye tayari kutumia visenti vyake kwa ajili ya mwanaume. Humuambii kitu.We nawe jikaze bwana mbona unakuwa lege hvoo
Yaani nimemtisha kidogo ametimua mbio hatari😂We nawe jikaze bwana mbona unakuwa lege hvoo
DuuuuuhYani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.
Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...
mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.
Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.
Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Amesema yeye kamaanisha upendo bhana chura namsingizia[emoji23][emoji23]Hapo ndo ataingia pabaya chura hamna sura ya mzee plus ufupi [emoji23][emoji23]kama kiroba Cha pembejeo