Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sana kupambana na miamba kama Lenie au NakadoriHuu ni ukweli Mchungu aisee....
Akili kubwa kama Nakadori huwa haitaki complications , kitu kidogo tu huwa ina appreciate sana.... Bora huyo Mwamba asijichanganye kabisa ataishia kupata mawazo na vidonda vya tumbo tu.
Msimzibie mwenzenuuBado sana kupambana na miamba kama Lenie au Nakadori
Labda aombe kazi ya kusafisha kucha
Satoh Hirosh 😂😂😂😂
Mimi ninamkubali Satoh Hirosh sana.Msimzibie mwenzenuu
Karibu sana apart from hapa JF wewe ni Boss wangu bhana,Kwanza week hii kuna ishu utanfanyia
Nikasake noti mie.... mapenzi bila noti sio matamu hata
Me ni pisi kali, sio mwamba 😂Bado sana kupambana na miamba kama Lenie au Nakadori
Labda aombe kazi ya kusafisha kucha
Satoh Hirosh 😂😂😂😂
Maana wewe Naka humu umeleta balaa la mizagamuono tu😂Hahahaa sio wa kugaragazana
Mimi ninamkubali Satoh Hirosh sana.
Lazima nimchangamshe akili afunguke apambanie kilicho bora😂
Hapa hakuna huo umoja wa kufa na kuzikana tafuta ubavu.Nimefika kupata wa kufa na kuzikana
Utasikia akilalama..wanawake Mungu anawaona kumbe alivaa kiatu kikubwa😂Kwa level yake lakini , asije akaparamia sehemu nzito akabaki depressed
Uzuri ni kwamba Madam SSH anajua kubalansi mambo, Siasa za chuki zinapunguwa maana anawaambia kabisa Mawazo ya Upinzani yanamsaidia kujua wapi kuna Weakness sasa Chawa wa Chama chake wataongea nini?Mkipendana mtapunguza matusi kule siasa
Sijamzuia nimempa angalizo.Me ni pisi kali, sio mwamba 😂
Naona uko na kampeni ya kunifukuzia ndege wangu, acha hizo basi
Kimasihara.com is loading......... 😋😋😋Hapa hakuna huo umoja wa kufa na kuzikana tafuta ubavu.
Kwa taarifa yako bado sijachaguliwa pia😂
Nimekubali hioYani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.
Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...
mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.
Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.
Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Msimzibie mwenzenuu
Mbona hujatoa like kwa hiyo Avatar yangu jamani Boss lady wangu? 😅😅😅Kabisa week ijayo si salama sana