Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Unakuwa kama Mbuni, kuficha kichwa mchangani!!! Kwani mwanaume huwa anamtafuta mwanamke ili iweje?

Khakhakhaa...umekua direct sana naweee lol ulitamka kavukavuuu no kulainisha wala nene jamanee😊😊😊
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo mzee wa miongozo ni kijana? Mbna huniambii sasa? Si nikusaidie majukumu.
Kuimba kupokezanaaa.

🤣🤣🤣🤣 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Nataka mzeeeie Pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na ushangazii hatrukomiiii usintanieeee nitafutie partner mieee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafia vifuani kwa wazee wee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafia vifuani kwa wazee wee

Yani huniambiii kitruu kwa wazee waletreeee wazee waletreeee wazee 🤣🤣🤣🤣!!

Wazee waelewaaa wanaleaa wazee wanajareeee wazee wanabembelezaaaa buana😎😎🤣
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Nyie mnatunyima mbususuzenu kwa kutaka wanaume wenye hela. Sie wengine hela hatuna
 
Like zimekuwa ngumu sana, kana kwamba hili jua linalowaka uku mtaani limehamia JF kukausha like.
 
Nyie mnatunyima mbususuzenu kwa kutaka wanaume wenye hela. Sie wengine hela hatuna
W
Yani huniambiii kitruu kwa wazee waletreeee wazee waletreeee wazee 🤣🤣🤣🤣!!

Wazee waelewaaa wanaleaa wazee wanacare wazee wanabembelezaaaa 😎😎🤣
Wazee mbona hawapiti huku??
 
Back
Top Bottom