Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ni ujinga wa hali ya juu kutafuta wapenzi humu .
 
Jitahidini, sisi uncle zenu tulitumia fursa vizuri zama zetu. Hapa tupo na ma-jr zao la jf.
 
Haha, mbona unajishtukia mama. Zile tofauti tushazimaliza mbona🤣🤣. Halafu ungejua jiko langu linatokana na ubunifu wa Max.
Kumbe jiko liko hapa ndo maana una act mzee wa busara 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumbe jiko liko hapa ndo maana una act mzee wa busara 🤣🤣🤣🤣🤣
Yani ninavyojiachia humu unasema tena na act mzee wa busara. Halafu jana Dr. Mariposa kaniambia sijawa mzee, mi kijana shababi kabisa mama🤣🤣
 
Hapa naanza na mtoa mada na ma peasi mengine ili dm kuchangamke leo. 😀
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Ningekutaka Ila unaonekana unaweza kunichezea
 
Yani huniambiii kitruu kwa wazee waletreeee wazee waletreeee wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!

Wazee waelewaaa wanaleaa wazee wanacare wazee wanabembelezaaaa [emoji41][emoji41][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Back
Top Bottom