Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itabidi nikufuate inboxKuna watu wanapata shida sana
Wanataka ku...to. tuuu sasa kazi kwako kaka mrefu. Comment sasa wakufwate...
Fungua pm nishalikeMbona mnaogopa ku like??
Yani ninavyojiachia humu unasema tena na act mzee wa busara. Halafu jana Dr. Mariposa kaniambia sijawa mzee, mi kijana shababi kabisa mama🤣🤣Kumbe jiko liko hapa ndo maana una act mzee wa busara 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa nini umetunyanyapaa kwa kutuita 'vibabu' wakati sisi ni 'wababu'Ndo atachuja mbele kwa mbele
Ningekutaka Ila unaonekana unaweza kunichezeaYani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.
Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...
mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.
Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.
Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Hahahah unanikamia kabisa 🤣 basi tuseme inshaallah!We nimekuweka kiporo siku nije nkukomeshee kwa kila kitu.
We ngoja tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahYani huniambiii kitruu kwa wazee waletreeee wazee waletreeee wazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Wazee waelewaaa wanaleaa wazee wanacare wazee wanabembelezaaaa [emoji41][emoji41][emoji1787]