Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada ina husu nini kwani😁😘😘😘😘😘
Jamanii uzi umetembea mno😬😁Soma na ww bwana Acha uvivu
Maisha ni vita bibieUsimkandie mwenzako
Hawajiamini?Huu uzi likes ni chache mnoo
Kwenye comments....watu wanajihamii
Hamna shida tunaenda hivyo hivyo pia personality yangu ninaipendaHujasoma shuhuda za watu za kukutana na vitu wasivyotegemea alafu kuna mchawi anaitwa filter ukigonga hiyo kama mzungu
Niko occupied 😂
Mimi binafsi jf naichukulia kama kijiwe cha kahawa.
Hata wanijie pm wangapi nachukulia poa tu.
Ni maamuzi yangu kujibu au kupotezea.
Nakuonaga unajihami mnoo😂😂
Taken 😀😀