Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Huu uzi likes ni chache mnoo
Kwenye comments....watu wanajihamii
 
Hujasoma shuhuda za watu za kukutana na vitu wasivyotegemea alafu kuna mchawi anaitwa filter ukigonga hiyo kama mzungu
Hamna shida tunaenda hivyo hivyo pia personality yangu ninaipenda
 
Nilijiunga JF kwa sababu hio,kuna enzi nilikua napatikana nyuzi za mapambano zaidi. Kwangu fujo za mtandaoni ni burudani 🤣🤣🤣🤣Maongezi ya PM hayana ladha,watu wanakua wapole sana pande zile
Mimi binafsi jf naichukulia kama kijiwe cha kahawa.
Hata wanijie pm wangapi nachukulia poa tu.
Ni maamuzi yangu kujibu au kupotezea.

Nakuonaga unajihami mnoo😂😂
 
Back
Top Bottom