Ngoja niwasaidie mpate partners kirahisi

Kuna watu wanapata shida sana
Wanataka ku...to. tuuu sasa kazi kwako. Comment sasa wakufwate...
Ndio kwanza tupo mwezi wa tatu ila kuna watu mnawaza uzinzi kuanzia Januari hadi Desemba.
 
That is true kabisa.
Na ukiwa na binti wa aina hiyo unatakiwa kuwa mbunifu na usirelax kizembe na unatakiwa uwe smart mara mbili yake vinginevyo andika maumivu.
Ukizubaa anaendesha gari mwenyewe wewe unakuwa konda🤣🤣🤣
 
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.

Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.

Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...

mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.

Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.

Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe

Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
Status:single

Age:21

Gender: Male

Nasubiri likes👍🏾
 
Na ukiwa na binti wa aina hiyo unatakiwa kuwa mbunifu na usirelax kizembe na unatakiwa uwe smart mara mbili yake vinginevyo andika maumivu.
Ukizubaa anaendesha gari mwenyewe wewe unakuwa konda🤣🤣🤣
You nailed it Dude na huu ndio ukweli aisee, 😅😅😅😅😅
 
Na ukiwa na binti wa aina hiyo unatakiwa kuwa mbunifu na usirelax kizembe na unatakiwa uwe smart mara mbili yake vinginevyo andika maumivu.
Ukizubaa anaendesha gari mwenyewe wewe unakuwa konda🤣🤣🤣
Haki ya mama angu
 
Back
Top Bottom