Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi Kama umetumiwa Hadi nauli,Mimi sitoboi.Mimi sijanyemelea nimeitwa na nimetumiwa hadi nauli mkuu.
Basi tukutane kwake achague mmoja lakini tusigombane🤣🤣
Ndio kwanza tupo mwezi wa tatu ila kuna watu mnawaza uzinzi kuanzia Januari hadi Desemba.Kuna watu wanapata shida sana
Wanataka ku...to. tuuu sasa kazi kwako. Comment sasa wakufwate...
Na ukiwa na binti wa aina hiyo unatakiwa kuwa mbunifu na usirelax kizembe na unatakiwa uwe smart mara mbili yake vinginevyo andika maumivu.That is true kabisa.
Mimi nachochea moto upendo uzidi kukua 👩❤️💋👨Acha watu wapendaneee
Status:singleYani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.
Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...
mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.
Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.
Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe
Yani jamii forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni kuwasiliana hadi pale mtakapofikia. Hata waki like 10 utachuja mbele kwa mbele makapi na ngano. Vigezo na masharti mtazingatia.
Msisahau kuleta mrejesho hapa matokeo ya hii fellowship...
mzabzab swahiba wangu wa ukweliii changamka upate mke uoe nipikiwe pilau mimi WiFi mwenye mdomo wake mjini.
Unique Flower kiboko ya vibabu changamka figa moja haliinjiki chungu ujue.
Me niko pale nawazoom.
Ngoja niingie TRA nikakadiriwe.
You nailed it Dude na huu ndio ukweli aisee, 😅😅😅😅😅Na ukiwa na binti wa aina hiyo unatakiwa kuwa mbunifu na usirelax kizembe na unatakiwa uwe smart mara mbili yake vinginevyo andika maumivu.
Ukizubaa anaendesha gari mwenyewe wewe unakuwa konda🤣🤣🤣
Hili ni povu la wivu. Niachieni Chakorii wangu.Nyie waarabu wa unguja msituchoshe hapa Satoh Hirosh 🤣🤣🤣
Mtu smart kichwani hapaswi kutabirika.Dah nyie nyie eti me sitabirikii sasa hapo si mnankandia
Thou kweli human behaviour is not predictable 🤪 🙄🙄
Sasa huyu Satoh Hirosh , anaweza hata kumshawishi jambo lolote Nakadori huyu ??? 🤣🤣🤣🤣Nani alikwambia nimeitiwa mapenzi?
Mbona muoga sana?😂😂😂
YEsu aliwauliza wanafunzi wake kuwa watu humnena je?Haki ya mama angu
Sijui hata kama anaweza kumshawishi awe shamba boy wake🤣🤣🤣Sasa huyu Satoh Hirosh , anaweza hata kumshawishi jambo lolote Nakadori huyu ??? 🤣🤣🤣🤣