Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nitumie approach gani ??? Au nianze kuvamia tu PM za KE humu ??? π’π’π’π€£π€£π€£πββοΈ
Ngoja nitulie kwanza kabla sijafanya maamzi kati ya hayo machaguo mawili (kuwinda au kutokuwinda).Toka lini mnyama aka chagua kuwindwa au kutokuwindwa??
Naogopa niaje nikakutana na mtu hana "masikio ya mbuzi" πππMbona mnaogopa ku like??
Waleteeeee waleteeee mamaaπππππ!ππππ
Wapangeeeeeeeeee
Acha kutumia hizi emoji za kulialia, hazijakaa poa.Sijui nitumie approach gani ??? Au nianze kuvamia tu PM za KE humu ??? π’π’π’
Naam kusema huyu ni mzuri au mbaya ni mawazo yako tu pindi akili yako itakaposema huyu ni mzuri atakuwa kweli mzuri na utampenda na pindi akili yako itakaposema huyu ni mbaya simpendi na kweli utakuwa humpendi mm nina dada angu kaolewa mwaka 2016 kupitia mtandawo wa kijamii jamaa alikuwa anakaa Arusha na yeye dada anakaa Dar hadi leo wapo pamoja hiyo imekaaje ila ww unasubiri mpk uone kwa macho ndio upende je umeshaona wangapi kwa macho na je mlipoanzisha uhusiaono mpk leo vp bado mpo wote au ndio kama mmππHii naona haituhusu sie ambao hatuhitaji wapenzi humu JF. Naanzaje kufall kwa anonymous IDs kwa mfano [emoji848]
Ameshakaribia huyo ila nime like post zako lkn Nakadori sijakuona pm shida nini tena πππMgeni wapii karibu ukae kitako me ntakuwa mwenyeji wako
Iblis Bin Shetan hebu mpatie kiti huyu Joline Kato . Na wewe Manyanza muoneshe mazingira mwenzio
Shetani vp mungu anasemaje huko ulipoMmekunywa chai lakini?
Ni ujinga kuchukulia kila kitu serious πππNi ujinga wa hali ya juu kutafuta wapenzi humu .
kashafika mm na ww tenaDr mpokee kwanza huyo mgeni
Hivi wanafungaje? Nielekeze na mimiDuh aiseee bora nilifunga PM