MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ule wakati wa Mtanzania Mmoja yeye na Familia yake sasa kwenda kuishi Burundi kama anavyotutaka Wengine tukaishi huko inakaribia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiona ID hii ipo hewani basi jua ile nyingine tayari imeshakula ban.Ule wakati wa Mtanzania Mmoja yeye na Familia yake sasa kwenda kuishi Burundi kama anavyotutaka Wengine tukaishi huko inakaribia.
Hata tuliokuwa tunamuunga mkono ametuangusha.Maza sijui aliwaza nini kumuweka savimbi pale...au alitaka mtu mwenye roho ya kikatili ili amsaidie
Zitto aliposema nchi inaongozwa na washamba wengi hamkumuelewa.Jamaa atatumbuliwa hilo liko wazi kama uchi wa mbuzi lakini atakua katolewa kafara ili wakubwa wake wapate sifa. Siasa achana nayo yote yaliyotokea walishauriana na kuafikiana ila mzigo wa lawama anatupiwa yeye alafu wakubwa wanashangiliwa.
Tengeneza tatizo kisha tatua tatizo. Walimuweka wakashauriana na kuafikiana matozo yao ila lawama anatwishwa yeye.
Lakini pia jamaa anaponzwa sana sana na mdomo wake, ile kauliza "wasiotaka tozo wahamie Burundi" itamgharimu sana sana sana. Kuna mdau hapa jf alisema hata kale ndoto ka kuupata uraisi kamezimwa kabisa na kauli hiyo.
Kauli inatafsiri nyingi ya majifuno, kujikweza, ubabe, ujuaji, ubinafsi, utemi na ulimbukeni. Kama uwaziri tu unamfanya kua na majivuno kiasi hicho akiwa raisi itakuwaje ?!
Nimependa mfanano wa jamaa na Savimbi kama wanafanana kwa vileMaza sijui aliwaza nini kumuweka savimbi pale...au alitaka mtu mwenye roho ya kikatili ili amsaidie
Sura hata roho mbaya!Nimependa mfanano wa jamaa na Savimbi kama wanafanana kwa vile
unataka wazee ili muibe vizuri sio?!!Hata tuliokuwa tunamuunga mkono ametuangusha.
Tatizo la Ccm ni cartels zao hawana tofauti na magenge ya Dawa za kulevya.
Dr Charles Kimei yupo ni Mtaalam wa mambo ya fedhana ni mtu mzima lakini hatumiki wanajazwa wahuni kwenye wizara sensitive, hapo ujuwe hakuna maendeleo yanayotafutwa zaidi ya maslahi ya magenge yao ya kihuni, inaonekana Dr Charles Kimei si mwenzao.
Chawa kama chawa, mnauza utu wenu Kwa smartphone tu pumbavu kabisa.unataka wazee ili muibe vizuri sio?!!
kamwe haiwezekani....
Rais hapangiwiiii......huyuhuyu mwigulu anafaa na anatosha kabisaa.......
Nchi haiwezi kuendeshwa bila kukusanya mapato.
maendeleo hayaji kwa porojo.
hata hilo genge la Chadema linalo mpiga Waziri linajua kuwa bila jitihada ya kukusanya mapato nchi haiwezi kupiga hatua ila wanafanya maksudi kupinga ili awamu hii 6 ishindwe kutekeleza malengo ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Mikakati ya kuwabeza na kuwakatisha tamaa Mawaziri wanao msaidia kwa dhati Rais inafahamika/wanafahamika.
kamwe msidhani viongozi hawalijui hilo!! hizi sio zama za kupika majungu na yakaiva.
Wanaona mpaka wamuingize kwenye system atawachelewesha.Hata tuliokuwa tunamuunga mkono ametuangusha.
Tatizo la Ccm ni cartels zao hawana tofauti na magenge ya Dawa za kulevya.
Dr Charles Kimei yupo ni Mtaalam wa mambo ya fedhana ni mtu mzima lakini hatumiki wanajazwa wahuni kwenye wizara sensitive, hapo ujuwe hakuna maendeleo yanayotafutwa zaidi ya maslahi ya magenge yao ya kihuni, inaonekana Dr Charles Kimei si mwenzao.
Ccm wanatembea kwenye cycle yao tu msemo wa jk "ccm ina wenyewe" wakitajwa mawaziri majina ni yale yale tu nape, january, 😏😏Hata tuliokuwa tunamuunga mkono ametuangusha.
Tatizo la Ccm ni cartels zao hawana tofauti na magenge ya Dawa za kulevya.
Dr Charles Kimei yupo ni Mtaalam wa mambo ya fedhana ni mtu mzima lakini hatumiki wanajazwa wahuni kwenye wizara sensitive, hapo ujuwe hakuna maendeleo yanayotafutwa zaidi ya maslahi ya magenge yao ya kihuni, inaonekana Dr Charles Kimei si mwenzao.
Ni Takwa Kuu la Fisadi Mstaafu wa Pwani ili Kulinda Mali zake nyingi za ndani na nje ya Tanzania na Maslahi yake ndani ya Klabu ya Yanga kupitia Kampuni yake Kificho ya MSG.Maza sijui aliwaza nini kumuweka savimbi pale...au alitaka mtu mwenye roho ya kikatili ili amsaidie
Ni ID ipi hiyo iliyopigwa BAN ya mnayemfahamu?ukiona ID hii ipo hewani basi jua ile nyingine tayari imeshakula ban.
popoma bhana.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumchinja kobe kunahitaji timing...Kwani akimtoa hata saivi nini kitaathirika kwenye hayo matukio?
...Wale Wale Walamba Asali!....![emoji57][emoji57]unataka wazee ili muibe vizuri sio?!!
kamwe haiwezekani....
Rais hapangiwiiii......huyuhuyu mwigulu anafaa na anatosha kabisaa.......
Nchi haiwezi kuendeshwa bila kukusanya mapato.
maendeleo hayaji kwa porojo.
hata hilo genge la Chadema linalo mpiga Waziri linajua kuwa bila jitihada ya kukusanya mapato nchi haiwezi kupiga hatua ila wanafanya maksudi kupinga ili awamu hii 6 ishindwe kutekeleza malengo ya kuwaletea wananchi maendeleo.
Mikakati ya kuwabeza na kuwakatisha tamaa Mawaziri wanao msaidia kwa dhati Rais inafahamika/wanafahamika.
kamwe msidhani viongozi hawalijui hilo!! hizi sio zama za kupika majungu na yakaiva.
Nimeona hata short list ya wagombea ubunge wa EA majina ni yaleyale, kina Pasco Mayalla fyekelea mbali.Ccm wanatembea kwenye cycle yao tu msemo wa jk "ccm ina wenyewe" wakitajwa mawaziri majina ni yale yale tu nape, january, 😏😏