Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tuzo imekaa kibiashara zaidi,ni uhuni uhuni tu hutumika kumpata mchezaji wakumpa wamtakao wao.Tuzo kama hizo hawapewi wabeba kuni, hupewa wachezaji ambao wana 'star appeal', yaani aina ya wachezaji mshabiki wa kawaida yuko tayari kununua tiketi ghali kwaajili ya kuburudishwa na uwezo wake akiwa na mpira miguuni mwake.
Kane lewandoski probably mmoja wao akapewaUnaonaje anastahili au la?
Binafsi naona anastahili ..
Lakin hatapewa..
Ameshindwa chukua Bundesliga player of the year. Atawezaje kupewa balon de oro??Kwa uhuni wa wazungu,hii Ballon d'or watampa Robert Lewandowski.
Kane yupi?Kane lewandoski probably mmoja wao akapewa
𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐟𝐚𝐧𝐨 𝐧𝐚𝐧𝐢?Mechi ya jana alikuwa kawaida tu kuna wachezaji wa chelsea walicheza kumzidi.
Ninavyoona kuna wachezaji kama wawili au watatu wameandaliwa kushinda hii tuzo inasubiriwa tu timu zao za taifa zitaperform vipi kwenye mashindano ya Euro 2020.
Kwa mfano kama Harry Kane akiisaidia England kuwa bingwa basi Balon'dOr itakuwa ni yake.
Halafu Chelsea jana ilikuwa ni team-peformance, kila mchezaji alistahili kuwa MotM. Hakukuwa na mchezaji aliyeperform kiwango cha juu kupita wote.