Ngolo Kante anastahili tuzo ya Ballon d'or kwa Mwaka 2021

Ngolo Kante anastahili tuzo ya Ballon d'or kwa Mwaka 2021

Halafu Chelsea jana ilikuwa ni team-peformance, kila mchezaji alistahili kuwa MotM. Hakukuwa na mchezaji aliyeperform kiwango cha juu kupita wote.

"It looked to me, being favorites for Man City was a heavy burden. They were too used to winning the ball back quickly, they couldn't do that tonight... Congratulations to Chelsea, a deserved win. Also, we have seen a man who is above everybody else, N'Golo Kante"

-Arsene Wenger https://t.co/DG85SKV61h
 
Dogo yupo vizuri. Ngozi nyeusi inaweza kuwa tatizo.

George Weah alivyopewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia wazungu walipinga sana wakisema mwafrika hawezi kuwa mchezaji bora Ulaya na dunia kwa wakati mmoja.

Kante anastahili, dogo mapafu ya mbwa.
 
Huyu kiumbe ameshinda everything, World Cup, Europa League, Champions League.

He is so humble, anastahili hiyo tuzo kwa kazi aliyoifanya.
Jamaa ana aibu Yule

Wenzakee Jana walikuwa wanalibusu kombe Jamaa hata hakulibusu anaona aibu

Daah general kante mwanadamu wa kipekee Sana [emoji1]
 
Halafu Chelsea jana ilikuwa ni team-peformance, kila mchezaji alistahili kuwa MotM. Hakukuwa na mchezaji aliyeperform kiwango cha juu kupita wote.
Jana Reece James kawaficha FODEN na Sterling daaah Jamaa kawaweka kwapani[emoji1787][emoji1787]
 
N'Golo Kante won more aerial battles than any other Chelsea player.

At 5'5, he was the shortest player on the pitch 🤯 https://t.co/WPPmHD9b1y

"It looked to me, being favorites for Man City was a heavy burden. They were too used to winning the ball back quickly, they couldn't do that tonight... Congratulations to Chelsea, a deserved win. Also, we have seen a man who is above everybody else, N'Golo Kante"

-Arsene Wenger https://t.co/DG85SKV61h
Fair play jana alitawala sana, hizo stats ni ngumu kuzi-ignore. Deserved MotM

Lakini binafsi MotM nitampa Tuchel kwa mbinu zake, Pep alikosa majibu kabisa.
 
Naona watu wanasema ubaguzi , mara ameshinda makombe yote na blah blah kibao

Na Mimi niulize kwanini hawa hawakupewa na walistahili...

Iniesta
Xavi
libery

etc
Tunapenda huruma huruma za kipuuzi kwa kutumia rangi yetu. Kwani asipopewa hatuoni mafanikio yake.... Apewe asipewe jamaa ametengeneza heshima sana kwenye mpira.
 
Naona watu wanasema ubaguzi , mara ameshinda makombe yote na blah blah kibao

Na Mimi niulize kwanini hawa hawakupewa na walistahili...

Iniesta
Xavi
libery

etc
Watu weusi sisi ni inferior sana na tuna shida sana mtu anakimbilia moja kwa moja kwenye ubaguzi weusi wangapi wameshinda Ballon d'or?
Na hata mchezaji Fifa wanayemtambua ni bora zaidi kuwahi kutokea ni mweusi
 
Yaan mchezaji anayekaba ndio achukue ballond'or ,,never ever ...

Harafu hio ni biashara usifikiri wanatoa kijinga kijinga ,wataua bland yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom