Ngolo Kante anastahili tuzo ya Ballon d'or kwa Mwaka 2021

Ngolo Kante anastahili tuzo ya Ballon d'or kwa Mwaka 2021

Huyo ni moyo wa Team Mkuu. Kwani imeandikwa wapi kwamba tuzo hiyo ni kwa Wafunga magoli tu?
Yaan mchezaji anayekaba ndio achukue ballond'or ,,never ever ...

Harafu hio ni biashara usifikiri wanatoa kijinga kijinga ,wataua bland yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Balon D'Or hutolewa kwa performance ya mchezaji katika msimu fulani. Sibezi mafanikio ya Ngolo Kante kama mchezaji na msaada wake kwa timu za taifa na klabu alizozichezea.
Lakini ambapo sikubaliani na wadau hapo juu ni pale tunapotumia kushinda World Cup, EPL na EUROPA Cup kama miongoni mwa vigezo vya kumpa Kante Balon D'Or ya mwaka huu.
Labda mtanisaidia kuweka kumbukumbu sawa, ila Kante hajashinda mataji hayo ndani ya msimu huu uliomalizika hivyo hayawezi kumpa faida yoyote katika kupambania tuzo ya MWAKA HUU.
 
Unaonaje anastahili au la?

Binafsi naona anastahili lakini hatapewa.
Kwanini apewe?

Labda tujue vigezo kwanza... (Individual award) na ucl ni 20% ya msimu mzima wa kucheza... Kama upo successful kwa hizo 20% je uhakika ukoje ktk hizo 80% zilizobakia?
 
Balon D'Or hutolewa kwa performance ya mchezaji katika msimu fulani. Sibezi mafanikio ya Ngolo Kante kama mchezaji na msaada wake kwa timu za taifa na klabu alizozichezea.
Lakini ambapo sikubaliani na wadau hapo juu ni pale tunapotumia kushinda World Cup, EPL na EUROPA Cup kama miongoni mwa vigezo vya kumpa Kante Balon D'Or ya mwaka huu.
Labda mtanisaidia kuweka kumbukumbu sawa, ila Kante hajashinda mataji hayo ndani ya msimu huu uliomalizika hivyo hayawezi kumpa faida yoyote katika kupambania tuzo ya MWAKA HUU.
Huo ndio ukweli kante awezi pewa individual award hiyo kwa kipi cha uwezo binafsi alichofanikiwa /kufanya katika huu msimu!!
 
Yaan mchezaji anayekaba ndio achukue ballond'or ,,never ever ...

Harafu hio ni biashara usifikiri wanatoa kijinga kijinga ,wataua bland yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fabio Cannavaro alikuwa beki lakini alichukua iyo award.
Labda hapo shida ni rangi tu.
 
Kante hastahili hii tuzo msimu huu...Nina mkubali sana lakini tuache mapenzi kwenye uhalisia...kisa kuwa MOTM kwenye final?
 
Kante namkubali Sana.. Ila anapaswa aiminishe Dunia kwamba yeye ni Bora kwenye Mashindano ya Euro.

Kilichompa D'or Modric ni uwezo aliounyesha Real Madrid kwenye Uefa pamoja na Croatia kwenye World Cup.

Kante Ameperform Sana mwishoni mwa msimu .
 
Acheni mihemko vijana, huyu Kante hadi miezi miwli tu nyuma hata namba ya uhakika alikua hana hapo Chelsea, ku performce mechi mbili tatu ndio awe mchezaji bora ?

Lewandowski ndio anaestahiki mpaka sasa. Na baada ya mashindano ya Euro yuyapata picha kamili nani ana deserve
humjui kante
 
Yeah anastahili

Ila watampa joginho wapuuzi wale

Laiti angkuwa mzungu uhakika 100%
 
Wenye star appeal kama kina Modric sio?
Modric ni genius, fundi wa mpira

Nitalipa tiketi sawa na mshahara wangu wa miezi mitatu kumuona live katika ubora wake aki control game na kuwapa mafunzo nadharia midfield ya upinzani mpira unatakiwa uchezwaje.

Hakuna mtu duniani yuko excited kununua tiketi ghali kwenda kumuangalia mbeba kuni Kante au Joginho.
 
Back
Top Bottom