Halafu Chelsea jana ilikuwa ni team-peformance, kila mchezaji alistahili kuwa MotM. Hakukuwa na mchezaji aliyeperform kiwango cha juu kupita wote.
Ana stahili kabisa aiseeUnaonaje anastahili au la?
Binafsi naona anastahili ..
Lakin hatapewa..
Jamaa ana aibu YuleHuyu kiumbe ameshinda everything, World Cup, Europa League, Champions League.
He is so humble, anastahili hiyo tuzo kwa kazi aliyoifanya.
Jana Reece James kawaficha FODEN na Sterling daaah Jamaa kawaweka kwapani[emoji1787][emoji1787]Halafu Chelsea jana ilikuwa ni team-peformance, kila mchezaji alistahili kuwa MotM. Hakukuwa na mchezaji aliyeperform kiwango cha juu kupita wote.
Ngolo Kante ni zaidi ya hili.Tuzo kama hizo hawapewi wabeba kuni, hupewa wachezaji ambao wana 'star appeal', yaani aina ya wachezaji mshabiki wa kawaida yuko tayari kununua tiketi ghali kwaajili ya kuburudishwa na uwezo wake akiwa na mpira miguuni mwake.
N'Golo Kante won more aerial battles than any other Chelsea player.
At 5'5, he was the shortest player on the pitch 🤯 https://t.co/WPPmHD9b1y
Fair play jana alitawala sana, hizo stats ni ngumu kuzi-ignore. Deserved MotM"It looked to me, being favorites for Man City was a heavy burden. They were too used to winning the ball back quickly, they couldn't do that tonight... Congratulations to Chelsea, a deserved win. Also, we have seen a man who is above everybody else, N'Golo Kante"
-Arsene Wenger https://t.co/DG85SKV61h
Timu wanayo mkuuWewe unaamini England inaweza kuwa Bingwa Euro?
Tunapenda huruma huruma za kipuuzi kwa kutumia rangi yetu. Kwani asipopewa hatuoni mafanikio yake.... Apewe asipewe jamaa ametengeneza heshima sana kwenye mpira.Naona watu wanasema ubaguzi , mara ameshinda makombe yote na blah blah kibao
Na Mimi niulize kwanini hawa hawakupewa na walistahili...
Iniesta
Xavi
libery
etc
Ubaguzi wa nini mkuu? Dini au rangi?View attachment 1802045
Ubaguzi Duniani ni tatizo.
Takwimu zinampigania mwamba.
Anastahili tuzo. Acha tuone kama watampa
Watu weusi sisi ni inferior sana na tuna shida sana mtu anakimbilia moja kwa moja kwenye ubaguzi weusi wangapi wameshinda Ballon d'or?Naona watu wanasema ubaguzi , mara ameshinda makombe yote na blah blah kibao
Na Mimi niulize kwanini hawa hawakupewa na walistahili...
Iniesta
Xavi
libery
etc
Unaonaje anastahili au la?
Binafsi naona anastahili lakini hatapewa.