Yaan mchezaji anayekaba ndio achukue ballond'or ,,never ever ...
Harafu hio ni biashara usifikiri wanatoa kijinga kijinga ,wataua bland yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VyoteUbaguzi wa nini mkuu? Dini au rangi?
Kwanini apewe?Unaonaje anastahili au la?
Binafsi naona anastahili lakini hatapewa.
Huo ndio ukweli kante awezi pewa individual award hiyo kwa kipi cha uwezo binafsi alichofanikiwa /kufanya katika huu msimu!!Balon D'Or hutolewa kwa performance ya mchezaji katika msimu fulani. Sibezi mafanikio ya Ngolo Kante kama mchezaji na msaada wake kwa timu za taifa na klabu alizozichezea.
Lakini ambapo sikubaliani na wadau hapo juu ni pale tunapotumia kushinda World Cup, EPL na EUROPA Cup kama miongoni mwa vigezo vya kumpa Kante Balon D'Or ya mwaka huu.
Labda mtanisaidia kuweka kumbukumbu sawa, ila Kante hajashinda mataji hayo ndani ya msimu huu uliomalizika hivyo hayawezi kumpa faida yoyote katika kupambania tuzo ya MWAKA HUU.
KWani dor inatolewa kwa lifetime success au kwa msimu husika?View attachment 1802045
Ubaguzi Duniani ni tatizo.
Takwimu zinampigania mwamba.
Anastahili tuzo. Acha tuone kama watampa
Fabio Cannavaro alikuwa beki lakini alichukua iyo award.Yaan mchezaji anayekaba ndio achukue ballond'or ,,never ever ...
Harafu hio ni biashara usifikiri wanatoa kijinga kijinga ,wataua bland yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
humjui kanteAcheni mihemko vijana, huyu Kante hadi miezi miwli tu nyuma hata namba ya uhakika alikua hana hapo Chelsea, ku performce mechi mbili tatu ndio awe mchezaji bora ?
Lewandowski ndio anaestahiki mpaka sasa. Na baada ya mashindano ya Euro yuyapata picha kamili nani ana deserve
Modric ni genius, fundi wa mpiraWenye star appeal kama kina Modric sio?