Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Mikononi kapaka hina?!?Yeye mwenyewe labda sijui kaona nini, Mwenzake Dembele kaenda Morocco kaoa chuma cha Kiarab, hijabu mpaka unyayoni hawa wa Europe kawafungia kioo.
View attachment 3095754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikononi kapaka hina?!?Yeye mwenyewe labda sijui kaona nini, Mwenzake Dembele kaenda Morocco kaoa chuma cha Kiarab, hijabu mpaka unyayoni hawa wa Europe kawafungia kioo.
View attachment 3095754
Gloves hizo za urembo kuna picha yake full nimeipost page ya nne comment no 78.Mikononi kapaka hina?!?
Huwa haitwi shangazi, ni mshangazi😃😃😃 wingi ni mishangaziWaafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote za waarabu huenda zikaporwa kibabe kupitia divorce mwishoni mwa career ya Ngolo Kante.
Kabla ya ndoa hii Ngolo Kante alikuwa akiheshimika sana na wachezaji wenzake na wadau wengi wa mpira, weusi kwa wazungu lakini inasemekana sasa wamemdharau sana.
Labda atumie akili ya yule mwamba Hakim ya kuandika mali zote jwa jina la mama yake .
Yote juu ya yote pesa ni zake na hatujui anachopewa na lishangazi
Mwamba angerudi asili yake akaoa mke. Huyu mshangazi si nasikiaga alifirisi mwana soka kabla ya kudondokea kwa kante. Itakua kante domozege. Mshangazi kajilengeshaWaafrica wote akili zetu zinafanana,