Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

Huwa haitwi shangazi, ni mshangazi😃😃😃 wingi ni mishangazi
 
Mwamba angerudi asili yake akaoa mke. Huyu mshangazi si nasikiaga alifirisi mwana soka kabla ya kudondokea kwa kante. Itakua kante domozege. Mshangazi kajilengesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…