Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

SUPA KASI YA VODA NDO HABAR YA MJINI

115K Freee internet

hua napeleka gb40 kwa siku yaan mpaka mwez uishe nishamaliza GB buku
Imekaaje hii na unajiunga vipi sijaelewa? [emoji848]
 
TIGO POST PAID:
  • 15 GB kwa 15,000
  • 35 GB kwa 35,000
  • 48 GB kwa 40,000
  • 72 GB kwa 60,000
  • 120 GB kwa 100,000

Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa

Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi

Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa, usipolipa lain inafungwa na unadaiwa deni.

AIRTEL SME:
A. Vifurushi vya sme bila kununua router ya airtel
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 60 GB kwa 50,000
B. Vifurushi vya sme ukinunua router ya airtel inayouzwa elf 50
  • 22 GB kwa 20,000
  • 35 GB kwa 30,000
  • 65 GB kwa 50,000
  • 100 GB kwa 75,000
  • 200 GB kwa 100,000/=
Hakuna gharama za usajili, wanachohitaji ni Tin Number na leseni ya biashara hata iwe ya kibanda.

huna wajibu wa kulipia kila mwezi, mambo yakitaiti unaweza nunua kifurushi cha chini au kusubiri mfuko ukae sawa

unachagua kifurushi cha kununua, mwezi huu unaweza nunua cha elf 20 mwezi ujao cha elf 50

CONCLUSION

Mimi tigo post paid nilijiunga mwaka jana kabla hawajabadili vifurushi, huwa naungwa gb 80 kwa elf 60 kila mwezi. hapa nilipo napima mzani kwasababu kifurushi changu nacho kipo fresh si haba lakini kama ningekuwa nalipia vifurushi hivi vya sasa ningehamia airtel fasta tu.

Siku Hizi hatununui mabando, tunagawana ya maOfisini ya Sirikali
 
Back
Top Bottom